Ndio maana nikasema mmegoma kukubali mabadiliko mlitaka muziki ubakie vilevile watu waimbe kama enzi za miaka ya 70 huko, ulitakiwa useme kuwa wewe ni mpenzi wa nyimbo za zamani ila sio kuanzia kusema sasa hivi hakuna muziki mara sijui maadili. Kuna nyimbo nyingi sana sasa hivi zipo hizo...
Kweli kabisa unaamini maandamano hapa Tanzania yanaweza kuwa na athari yenye kuleta mabadiliko tena kwa muda mfupi kiasi hicho? Kwa dalili zipi za kufanya tuamini hivyo?
Mkuu muziki ni burudani, hii dhana ya sijui kuelimisha ni unafki tu kwa sababu hata hiyo miziki ya zamani ipo ambayo ilikuwa na matusi matupu yaliyoimbwa kwa mafumbo lakini hadi leo mkisifia nyimbo za zamani mnatuambia zilikuwa na ujumbe mara sijui mafunzo.
Nyimbo kama za Issa matona huko...
Humu kuna wazee ambao wamegoma kubadilika, siku zote muziki ni burudani tu hivyo ukiona hakikuvutii unaachana nacho. Hizi hoja za kwamba sijui miziki ya sasa haielimishi ni maneno tu maana hata huko zamani tumesikia sana nyimbo za matusi zilizoimbwa kimafumbo.
Binafsi siuelewi huu muziki wa...
Pengine ndio maana wengine husema ukristo ni imani tu na si dini, ndio maana utakuta mkristo atasifu ukristo (imani) kuwa ni upendo tu na kwamba hakuna fujo ila huyo huyo atashabikia vita ya Palestina na Israel.
Hapo hoja ya upendo kaiweka pembeni.
Shida ni kwamba waislamu wanapozungumzia majini huzungumzia kitu tofauti na wakristo wanavyozungumzia majini. Wakristo wao wanazungumzia majini kuwa ni malaika ila waliyoasi na si kwamba majini ni aina nyengine ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu, ila waislamu wanapozungumzia majini huzungumzia kama...
Mnaokereka ni nyinyi na hata ukiangalia maneno mnayotumia ni maneno makali yenye kuonyesha mnakereka kuona kuna watu bado wanamkubali mtu(ingawa ameshafariki) ambaye nyinyi mnamchukia, mfano kutuambia kuwa Magufuli ni mungu wetu ni maneno ya mtu ambaye ameshavurugwa na hasira anaropokwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.