Recent content by Ubhumara

  1. U

    NEC yabadili majina ya majimbo matatu na kutangaza tarehe za kuchukua fomu

    Unaleta uzi huna taatifa yoyote juu ya facts za unacholeta. Ni uboya tu. Eti unataka uwe wa kwanza kureport huku huna taarifa yoyote. Only dogs can behave like that. Only dogs.
  2. U

    Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Naomba mtujibu kwani hukumu tayari? Mbona mtoa mada haelezei kwa kirefu? Kama hukumu tayari vipi imekuwaje? Kifungo? Faini? au vyote kwa pamoja?
  3. U

    Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Nalo ni jibu. Kumbuka tu siyo kila mzungu ni Padri wengine ni Pep Gadiola na Jugen Crop!!!!
  4. U

    Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Asante sana kwa update mkuu. Swali la pili la nyongeza ina maana muda wa kulipa faini hauna ukomo? Let say siku mbili nne au wiki?. Isije siku ya ukomo ikafika huku hazijapatikana hela then watu wakaangamia gerezani. Siku hizi maendeleo yana vyama.
  5. U

    Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Jamani wanajamvi habari za leo na poleni na majuku,mu na maumivu ya hukumu za wenzetu. Msaada tutani Leo ni siku ya Alhamisi. Mm binafsi sijapata update ya michango ya kuwatoa kina mbowe gerezani hasa baada ya kufanikiwa kuwatoa wabunge wanawake yaani Mh Halima, Matiko na Bulaya. Je CDM...
  6. U

    Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

    UPDATE YA MICHANGO YA KUWAKOMBOA KINA MBOWE Wanajanvi naomba kujua update juu ya michango ya kuwakomboa kina Mbowe mpaka alhamisi hii. Zimefikia sh ngapi? Je wameweza kupata mil. 350? Msaada tafadhali
  7. U

    Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

    Hivi jamani michango kwa ajili ya kumalizia kuwatoa kina mbowe imefikia sh ngapi mpaka leo? Au ndo ngoma imebuma?
  8. U

    Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

    Iliwahi kumtokea jamaa yetu tukiwa chuo kikuu cha Dar akampokea demu toka moro in similar manner. Kumbe demu alikuwa jini. Usiku ukifika tunampisha room anapiga mashine but finally akamkimbia demu na hakutuambia kilichomsibu u8siku huo. Demu alikuwa njema kifedha na kimvuto maana alikuwa na umbo...
  9. U

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Mtoa taarifa ni muongo hakuna kitu kama hicho UDOM.
  10. U

    UDSM: Rais Magufuli kuzindua Maktaba ya kisasa,kuzungumza na Taifa

    Wachina wameomba wapewe ziwa Victoria kwa miaka 231 ili wasamehe madeni yooote wanayodai kwa nchi za Africa mashariki. Ndo tumeanza mazoezi ya kuwapa vyao
  11. U

    UDSM: Rais Magufuli kuzindua Maktaba ya kisasa,kuzungumza na Taifa

    China imewaomba watu wa Africa mashariki wawakodishie wachina ziwa Victoria kwa miaka 231 eti wawafutie madeni yao yote wanayoyadai kwa wana wa Africa mashariki. Ndo tumeanza mdogomdogo kuwapa vyetu.
  12. U

    Bosi mpya Barrick ajipanga kuilipa Tanzania

    Unafikiri Lumumba hawajui hayo. Ni madhara ya buku 7 za daily...
Back
Top Bottom