Recent content by tunu83

  1. T

    Nahitaji vifaa vinavyoweza kuchuja asali ili niweze kuipaki

    Naelewa kiasi kuhusu asali. Settler tenki zinapatikana Arusha BDTL au Chuo cha Nyuki Tabora kama utataka mawasiliano yao nijulishe.Vifungashio pia Arusha kuna kiwanda kinauza chupa za kila aina za ujazo tofauti kulingana na mahitaji yako.
  2. T

    Natafuta soko la Asali Mbichi Dar es salaam, ipo nyingi

    Mkuu Manyusi na wewe asali yako ni ya Tabora au?
  3. T

    CCM Thibitisheni sasa, Je Hawa ni Mafisadi au si Mafisadi?

    Mtoa mada hilo swali ni la Dr Slaa na Mnyika na hata ukijifanya unataka kuligeuza mtaani wananchi wengi hawajaelewa so lazima tu mjiandae CDM kutoa maelezo ya kina maana aliyetangaza hiyo list anajulikana hata na mtoto mdogo yeye ndio anawajibu wa kutoa majibu
  4. T

    Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    UKAWA inabidi wajipange sana kwa Magufuli. maana ni jembe kweli
  5. T

    Nauza Asali

    Hapana mdau si kweli kwamba asali ya Tabora ina Nicotine ila ni lugha ya biashara kwa watu wa maeneo mengiine na hii imethibitishwa kiutafiti so far wafugaji wengi Tabora wanafugia kwenye protected areas so sio rahisi asali kuwa na nicotine.
  6. T

    Haraka: Ushauri kuhusu Mji wa Kigoma

    Nakushauri ufikie Zanzibar Hill pako poa na usalama ni wa uhakika
  7. T

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mtaalamu wa simu mimi nina simu ya samsung hapa home sasa watoto wanadai walitoa line baada ya kuirudisha line haisomi na nimejaribu kuweka na line zingine inakataa kusoma tatizo ni nini?
  8. T

    Nakukumbuka sana wewe mwanamke/ mtoto wa kike

    Hhaaaahaaaaa bila shaka ulisoma Mlimani Primary Snowhite
  9. T

    Jinsi ya kutengeneza siagi ya karanga

    Nashukuru sana mdau
  10. T

    Peanut butter

    Wadau wa mapishi. Naomba mnisaidie jinsi ya kuweza kuandaa siagi ya karanga.
  11. T

    Nawezaje kupiga screen shot kwenye Samsung galaxy gland ?

    Habari wadau naomba mnisaidie jinsi ya kuscreen shot kwenye simu ya samsung galaxy gland mimi sina utaalamu sana na hizi simu za android.
  12. T

    Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Jangwani shule yetu jangwani twaipenda, duuh mmenikumbusha mbali sana.Mabinti tarabushi na maajabu ya chura kujipaka poda!RIP Mama Mkamati
  13. T

    Naomba msaada wa kubadilisha kioo cha samsung galax

    Wadau nimeangusha simu yangu samsung galaxy gland na imepasuka kioo cha juu ingawa inafanya kazi ila nahitaji kubadilisha kioo niko tabora kama kuna mwenye kujua naomba ushauri au maelekezo juu ya nini cha kufanya tafadhali
  14. T

    Mama ni dhahabu ukimkosa utapata shida; ahimidiwe mfariji wetu Mungu wa mbinguni

    Pdidy umenigusa sana.Nakupenda sana baba yangu, nakukumbuka sana busara zako na malezi mema uliyotupatia.Mungu akulaze mahali pema peponi,Amina
Back
Top Bottom