Recent content by trip2dubai

  1. T

    Dubai Expo2020: Je, nchi za Afrika zinachukulia Muhimu fursa hii?

    Expo huwa inafanyika kila baada ya miaka 5 katika mji ambao uliachaguliwa Julia zaidi kutoka link ya Wikipedia Hivyo baada ya miaka michache itafanyika katika jiji la Dubai, na tunapenda kuchukuwa fursa hii kuwakaribisha East Africa to Dubai na kushiriki. Expo Dubai katika mwaka wa 2020...
  2. T

    Elimu na Maarifa ni Nuru ya Jamii na Maendeleo

    Je unajua yakuwa mchunga mbuzi wa jangwani, ambayo tunajua sote haioti kitu na kavu, kajenga ghorafa ndefu duniani and mji wake umekuwa maarufu ulimwenguni? Mie si mwamndishi wa habari wala philosopha, lakini kwa matokeo tunayoshuhudia mbele ya macho zetu miaka na miaka ambayo hayarudi nyuma ni...
  3. T

    Ahsante JamiiForum - Karibuni Dubai

    "Tee Bag" Kuhusu suala lako tumenakili hapa juu, kwa uhakika, sisi si watalaam la suala ya mayaya wanaoletwa huku Uarabuni - Dubai - United Arab Emirates. Lakini tuna uhakika kabisa kwamba hakuna jambo hila, na UAE ipo mstari wa mbele kutetea haki ya wafanya kazi.
  4. T

    Ahsante JamiiForum - Karibuni Dubai

    Tunashukuru kwa support yako. Maana kwa mara yakwanza tumeanzisha page ya lugha ya Kiswahili
  5. T

    Ahsante JamiiForum - Karibuni Dubai

    Trip2Dubai ni website inayojulisha watu wanaotegemea kuzuru mji wa Dubai uliyopo Mashirki ya Kati - Uarabuni Karibuni tumeanziasha ukurasa wa Kiswhili, hivyo ni kupata habari motomoto kutuka Dubai. Ahsanteni Trip to Dubai - Come closer to Dubai - Trip ila Dubai
Back
Top Bottom