Expo huwa inafanyika kila baada ya miaka 5 katika mji ambao uliachaguliwa
Julia zaidi kutoka link ya Wikipedia
Hivyo baada ya miaka michache itafanyika katika jiji la Dubai, na tunapenda kuchukuwa fursa hii kuwakaribisha East Africa to Dubai na kushiriki.
Expo Dubai katika mwaka wa 2020...
Je unajua yakuwa mchunga mbuzi wa jangwani, ambayo tunajua sote haioti kitu na kavu, kajenga ghorafa ndefu duniani and mji wake umekuwa maarufu ulimwenguni?
Mie si mwamndishi wa habari wala philosopha, lakini kwa matokeo tunayoshuhudia mbele ya macho zetu miaka na miaka ambayo hayarudi nyuma ni...
"Tee Bag" Kuhusu suala lako tumenakili hapa juu, kwa uhakika, sisi si watalaam la suala ya mayaya wanaoletwa huku Uarabuni - Dubai - United Arab Emirates. Lakini tuna uhakika kabisa kwamba hakuna jambo hila, na UAE ipo mstari wa mbele kutetea haki ya wafanya kazi.
Trip2Dubai ni website inayojulisha watu wanaotegemea kuzuru mji wa Dubai uliyopo Mashirki ya Kati - Uarabuni
Karibuni tumeanziasha ukurasa wa Kiswhili, hivyo ni kupata habari motomoto kutuka Dubai.
Ahsanteni
Trip to Dubai - Come closer to Dubai - Trip ila Dubai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.