Recent content by Trice Sturmius

  1. T

    Nielimisheni kuhusu hili swala la CV na Attachment

    Kwanza viweke vyeti vyote kwenye folder moja, then send lile folder kwenye compressed zipped folder. Hii inakuwa rahisi zaidi kuliattach folder zima kwa mara moja bila kusababisha usumbufu wa kutuma vyeti separate
  2. T

    nichekie mkopo S0645/0057/2010

    Msaada, naomba uniangalizie na mimi please S0172/0031/2010
  3. T

    samahan nichekie mkopo S0672/0311/2010

    Msaada na mimi ndugu S0172/0031/2010.
  4. T

    samahan nichekie mkopo S0672/0311/2010

    Naomba nichekie na mimi mkuu. S0172/0031/2010
  5. T

    Natafuta chumba cha kupanga

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya sayansi mpaka Morroco, Sinza au Mikocheni. sifa za chumba ni:- 1. Iwe chumba na sebule self contained na jiko, maji na umeme. 2. Ndani ya fensi 3. Pawe na uwezo wa kufika gari mpaka kwenye nyumba 4. Karibu na barabara na usalama uwepo. Mwenye...
  6. T

    Dawa ya kukuza nywele

    inatoka USA na imetengenezewa mmea wa Alovera.
  7. T

    Dawa ya kukuza nywele

    imetengenezwa USA na imetengenezwa kwa kutumia mmea wa Alovera.
  8. T

    Hair super gro!

    Kwa akina dada wanaohitaji dawa ya kurefusha nywele na kuzifanya ziwe nzito wanaweza wakapiga namba hzi,(0716574636/0787638521) wakazipata. Ni kwa sh. 10,000/=. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mmea wa Alovera, na imetengenezwa USA.
  9. T

    Dawa ya kukuza nywele

    Dawa ya kukuza, kujaza, na kufanya nywele ziwe nzito inauzwa kwa bei ya sh. 8500/= tu. Mnaweza kuipata kwa kupga simu 0787638521. Napatikana Dsm, Karibuni kina dada na kina mama.
  10. T

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Sikia, tafuta maziwa ya nguruwe kidogo sana(samahani km ni muislam, ila ndiyo dawa pekee na isiyo na madhara). Unachovya kidole chako humo na unamdondoshea tone 1 tu kwenye maji yake ya kunywa au kinywaji chake chochote. Lakini hakikisha humuwekei zaidi ya tone 1. Make sure "1 Drop". Toka hapo...
  11. T

    Fhi

    thanks much and be blessed!
  12. T

    Fhi

    nashukuru kwa complete information. Lakini tatizo langu ni vipi nitafika? Kama natokea mwenge au ubungo, napanda gari za wapi na ninashuka kituo kipi? Samahani lakini kwa usumbufu.
  13. T

    Fhi

    Naombeni msaada kwa anayelifahamu shirika la Fhi lilipo hapa dar. Nafahamu tu liko oysterbay, lakini sifahamu exctaly location. Naombeni tu mnielekeze. Asanteni wana'jf
Back
Top Bottom