Recent content by Tokyo40

  1. Tokyo40

    Scholarship za Chuo cha Hong Kong

    Kuna scholarship kuanzia Bachelor's degree. Fuata maelekezo. Kila la kheri! We are thrilled to announce that PolyU is still open for applications for its PolyU Entry Scholarship, which are available exclusively for international students. So, do not miss this chance! To apply for an...
  2. Tokyo40

    Mdomo umeenda pembeni, anayejua dawa anisaidie

    Ni nerves. Nervous ni hali ya kuwa na uoga.
  3. Tokyo40

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Kwa Mzee Amir Habib Jamal, alikuwa mtu mzima na mgonjwa. Uraia wa Kanada unampa huduma ya bure ya afya na kiinua mgongo cha kila mwezi kwa wazee wastaafu kama yeye. Kwa nini amsubiri Nyerere kumsaidia wakati watoto wake ni raia wa Kanada na wanajua faida yake kwa mzee wao hasa ukizingatia kuwa...
  4. Tokyo40

    Mdomo umeenda pembeni, anayejua dawa anisaidie

    Tatito linaweza kuwa la misuli au nerves system. Kama umeumia kichwani, ulipata mafua au ugonjwa ambao kirusi kinaingia mwilini, lym disease, sikio kuuma n.k. Nenda Muhimbili wakupime na electromyography (EMG) kupima nerves signal zako na misuli ya uso. Kama utakuwa na ugonjwa wa Bell's Palsy...
  5. Tokyo40

    Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Elimu ni biashara, hapa na nje vile vile. Ukiwa na uwezo,msomeshe mwanao shule inayoweza kumsaidia kujiandaa kimaisha. Binafsi, utajiri si muhimu kuliko kupanua mawazo ya mtoto kuelewa vitu tofauti zaidi ya kusoma na kuandika. Naamini kama elimu yetu ingekuwa bora nchi nzima, ingezalisha...
  6. Tokyo40

    Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Mkuu, Hii ni kawaida katika nchi za Asia pia. Wanafunzi wa Korea, China na Japan wanasoma shule, halafu tuition,halafu kujifunza piano, ballet etc. Yote kujitayarisha kuingia vyuo vikuu elite.
  7. Tokyo40

    Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Sijui shuke nyingine,lakini wanafunzi wa IST wanakwenda katika program moja inaitwa Model United Nations, hapo Nairobi UN office. Wanafunzi waliochaguliwa wanaiwakilisha nchi tofauti katika debate kama wanavyofanya katika mikutano ya Umoja wa Mataifa. Labda, njia ya kufika UN inaanza hapo.
  8. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    Ni aibu kupokea misaada midogo midogo kama hivi kwa dona kantre wa uchumi wa kati. Serikali inanunua magari ya bei mbaya lakini inashindwa kuwekeza kusaidia kuendeleza kilimo au kujenga vyoo vya wanafunzi. CCM priorities are very idiotic.
  9. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    Again, unanipangia jinsi nifikiri kama wewe. I spent a decade in American institutions of higher learning. So don't make assumptions like you know me. It's best to agree to disgree and move on. But there is absolutely nothing you can teach me concerning world economic matters. And I'm far...
  10. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    You know, you are so ignorant na hujibu maswali yanayohusu udikteta wa Magufuli kwa sababu wewe ni Magufuli Apologist. Ulijuaje sijasoma au kuishi Marekani? Unaruka ruka tu kila sehemu, hujui unaongelea nini, hujibu maswali. Ulianza wewe kuchapisha hapa data za kupikwa za 7%. Hujajibu kwa...
  11. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    That's bullshit and you know it. Hakuna sheria za Marekani zinazokataza data kuchapishwa ISIPOKUWA zile zilizoruhusiwa na serikali. That's pure Leninism. Kuna machapisho huru chungumzima Marekani yanayokosoa serikali. Kuna mangapi Tanzania? Kuna wanauchumi wengi tu wako huru kuchapisha data...
  12. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    Hujajibu swali kwa nini wanauchumi huru hawana haki ya kuandika data bila ya ruhusa ya serikali? Pili, usilinganishe uchumi wa Marekani na wa Tanzania. Social support TZ hamna kutokana na umasikini. Hata Japan homeless wapo, lakini halali mtu na njaa nchi zilizoendelea na unapewa pesa ukiwa...
  13. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    I don't buy into conspiracy theories, that's for idiots. But I have a problem with a repressive CCM govt which only allow govt appointed researchers to collect economic data. Why? Wanaogopa nini? Data zote nilizozileta si za kwangu na hawaruhusu kuchapicha data bila ruhusa ya serikalikatika...
  14. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    Sio imani Mkuu. Serikali inadanganya wananchi na haitaki wanauchumi kutafuta data za ukweli. Ukichapisha, unakamatwa. Inasema nina bias wakati wewe umeleta data ya serikali inayoitangazia dunia kuwa uchumi umekuwa 7%. Ni data iliyopikwa kwa sababu mitaani biashara hamna. Don't ba a hypocrite!
  15. Tokyo40

    CEBR: 2028 Uchumi wa China utakuwa zaidi ya USA, Tanzania vs Kenya

    Hio 7% growth imepikwa. Ukuaji wa uchumi kulingana na hali ya mitaani iko chini kama nilivyokueleza juu huko.
Back
Top Bottom