DR W. P. SLAA (PHD) IS A TRUE PATRIOT OF OUR NATION TANZANIA. MAY GOD GIVE HIM THE STRENGTH AND COURAGE TO CONTINUE DEFENDING OUR MOTHER LAND (TANZANIA) FROM HYPOCRITES :embarrassed:.
Inasikitisha kama kuna Msomi anaungana na Madudu ya CHAMA CHA ZAMANI yani Katiba Iliyooza na Tume ya Uchaguzi kwa manufaa ya Chama Cha Zamani. Kama na huko dodoma kuna wanafunzi tena vyuo Vikuu wenye upeo mdogo kiasi hicho basi kazi ya ziada inahitajika kuikomboa nchi yetu kwasababu watu...
TUUNGANE SASA KUDAI KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHACHUZI BILA HIVYO TUTABAKI KUWA WA ZAMANI KAMA CHAMA CHA ZAMANI KINAVYOPENDA ILI WATUTAWALE NA WA TUTUNYONYE VIZURI!:nono:
'SAMWEL SITTA OUT' :tape:! HII NI ISHARA 'CHAMA CHA ZAMANI' KINAELEKEA KWENYE ANGUKO KUU :rip:! TUMWOMBE MUNGU ATUPE MABADILIKO YA KWELI 2015 TUONDOKANE NA VIONGOZI WANAOWEKANA , KUJILIMBIKIZIA MALI, USULTAN WA KURITHISHANA MADARAKA, WANAOLINDANA, WABINAFISI, WASIO NA CHEMBE YA HURUMA KWA...
UMMA UMEELEWA KUKIONDOA CHAMA CHA ZAMANI INAWEZEKANAAAAAAAAAAAAA!Inasikitisha kuona/kusikia watu/mtu anunga mkono CHAMA CHA ZAMANI kilicho jaa kila aina ya uchafuuuuuuuuu jamani tusikatishwe tamaa na watu wa zamani huu ni wakati wa mageuzi Chama Cha Zamani siku zake zinahesabika, wenye mawazo...
CHAMA CHA ZAMANI kinaelekea ukingoni na anguko lake halitazuilika kwasababu Umma umekataa NA utazidi kukataa :-
1.UBINAFSI WA ULIOPITILIZA
2.KUJILIMBIKIZIA MALI KWA MGONGO WA UMMA
3.MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
4.USULTAN ( From Father / Mother to son / Daughter or FROM Husband to Wife AND...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.