Umewahi kujiuliza laana ni nini na kinyume cha laana ni baraka?? Unaweza barikiwa wewe na mambo yote au watu wote wanaokuhusu wakaingia ndani ya hiyo baraka, kimsingi hiyo laana ya adam na hawa iliathiri mpaka mambo yote ambayo lazima tu angekuwa na ushirika nayo, kuanzia ardhi na vyote...
Tehe kwa misingi ya swali lako ati kama umefanya astral then ukachagua kwenda kama ni mbinguni au peponi then ukate shauri la kubaki huko huko du swali zuri sana
So unadhani ni jambo ambalo lipo katika uhalisia or its just a sense? Zaidi ina kuwa umeudanfanya mwili na akili na hapo ni kama ni mawazo tu ndo yanasafili kama unapo kuwa ndotoni ebu imagin umelala unaota ndoto nzuri haijaisha ghafla unaamshwa na ndoto ndo inakatikia hapo kwa vyovyote astral...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.