Recent content by Tayomist

  1. Tayomist

    Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Katoni moja ya hizo sandals inaenda kiasi gani kwa jumla mkuu Na Mwanza sehemu gani unaweza funga mzigo.
  2. Tayomist

    Naomba kuunganishwa na fursa ya Kazi katika Mkoa Simiyu

    Nina Bsc. in Agricultural Economics & Agribusiness. Nina uzoefu wa miaka 4 katika:- • Mauzo na Masoko (Sales and Marketing) • Utawala (Management & Administration) Nipo tayari kufanya kazi katika nafasi yeyote na kujifunza kwa haraka. Wilaya yeyote katika MKOA WA SIMIYU. Ahsante. Simu...
  3. Tayomist

    Pesa za mitaji hizo vijana kachukueni

    Jambo jema sana, I'm inspired. Wacha waje kutupa sample ya katiba.
  4. Tayomist

    Msaada: Tatizo la meno kutoboka

    Kuna kuziba /filling kwa yale yaliotoboka lakini halijaoza ama kuharibika na kuuma
  5. Tayomist

    Nahitaji kujua bei ya POWER TILA mpya kwa sasa

    Powertillers zapatikana Dodoma, Kibaigwa. Zipo za China na Japan, Uwezo wa 15HP na 16HP. Utapata ikiwa complete, yani pamoja na jembe, rotaveta, tela, matairi ya ziada ya chuma na spana zote. Mawasiliano: 0685199512
  6. Tayomist

    PPF Waanza kuita watu

    Tunazisubili.
  7. Tayomist

    FIFA corruption probe targets 'World Cup of fraud,' IRS chief says

    I meant 'sports not spirts' Sorry
  8. Tayomist

    FIFA corruption probe targets 'World Cup of fraud,' IRS chief says

    Thats what undergoing the recent FIFA scandal, US tries to intervene that football organization decisions. By doing that, US breaches the principle of 'spirts and politics should be separate' I'm not connecting them.
  9. Tayomist

    FIFA corruption probe targets 'World Cup of fraud,' IRS chief says

    Dont forget US failed in its bid to host the 2022 world cup, so it swears to remove the fifa governing body na kuweka vibaraka wao.
  10. Tayomist

    FIFA corruption probe targets 'World Cup of fraud,' IRS chief says

    This is an obvious attempt to expand Washington's jurisdiction in other countries. They, US and western partners, try to impose their law against other states. The action of stopping Blatter from being re-elected as FIFA president is a grave breach of the principles of a functioning...
  11. Tayomist

    PPF Waanza kuita watu

    wadau LAPF vipi?
  12. Tayomist

    Kanali mstaafu wa JWTZ analipwa Pensheni 22,000/= na Jenerali analipwa 50,000/=

    Chili jambo la mafao ya uzeeni kwa wastaafu wa kada mbalimbali waliotumikia taifa kwa miaka ya zamani linapaswa kuangaliwa tena kwa umakini. Viwango hivyo vya fao la uzeeni haliakisi viwango vya maisha vya sasa. Viwango hivyo vilikokotolewa zamani, mazingira ya uchumi kipindi hicho ni tofauti...
  13. Tayomist

    Natafuta tractor la kununua

    Kama utapata mtazamo wa kupata tractor mpya, india made Mahindra. Kuanzia 15HP, 45HP, 60HP, 70HP and 80HP. Ploughs na Power tillers pia zipo. Tupo Kibaigwa Dodoma. Tupigie kwa 0685199512
Back
Top Bottom