Recent content by Tajiri Tanzanite

  1. Tajiri Tanzanite

    Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Yanga ndio itakuwa timu mbovu msimu ijayo...yanga wanabebwa na waamuzi ligi kuu hawastahili kuwa mabingwa...timu yenye rangi ya mavi..njano njano ni ya wachawi tu
  2. Tajiri Tanzanite

    TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

    Hawa marefa wanaoibeba yanga mchana peupe wataenda kuchezesha mavi yao..waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwasababu ya siasa,rushwa na ushabiki..mfano mechi ile ya kagera na yanga,kagera wameshinda goli la alali wakazulumiwaa na refa..sasa muamuzi kama huyo...
  3. Tajiri Tanzanite

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

    Simba sc imeanza kuwa ya moto kama zama zake imeanza muelekeo
  4. Tajiri Tanzanite

    Hii ndio maana au tafsiri halisi ya wadudu

    Hapo vip!! Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe. Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap. Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna...
  5. Tajiri Tanzanite

    Tetesi: Kuna mstaafu mashuhuri atalamba teuzi na kuapishwa

    mzaa mzaa hutumbua usaha..hapa kuna kitu hata kama unatania..naendelea kusubiri.
  6. Tajiri Tanzanite

    Tetesi: Kuna mstaafu mashuhuri atalamba teuzi na kuapishwa

    Uteuzi kwenye nafasi gani ili utabiri wako ukamilike...
  7. Tajiri Tanzanite

    Ipi faida ya mwanadamu hapa duniani?

    Dunia ni darasa katika njia ya mwanadamu
  8. Tajiri Tanzanite

    Mo Aache Ushikaji Amfukuze haraka Sana Try Again asihusike kwenye Mipango ya timu msimu ujao

    Sijawahi kumuona muhindi aliyewekeza kwente soko ni sawa na mchina,hawa hamaa wanadamu ya kunguni aisee..muhindi awekeze kwenye viwanda vya pili pili,biscut,juice na pipi ila mchina apambane na barabara
  9. Tajiri Tanzanite

    Hivi kwani, wachungaji wa sasa hawawezi kuhubiri au kumwombea mtu bila kumuomba Muumini Sadaka!? tena anakupangia kiasi cha kutoa.

    Dunia imechafuka mkuu hakuna huruma tena..jifunze kujiombea mwenyewe..wangine ukijichanganya wanakulamba na nyota kabisa
  10. Tajiri Tanzanite

    Hivi inawezekana mume/mke akawa mlozi na mwenza wake asijue?

    Aisee usiombe ufanye mapenzi na mchawi..duh!!hawana maana hao watu bora waoane wachawi kwa wachawi aisee
  11. Tajiri Tanzanite

    Yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake

    Tatizo la mashabiki wa yanga muna umaskini mpaka kwenye akili,haishii kwenye kukosa hata pesa ya kuingia iwanjani bali umasikini wenu umevuka mipaka mpaka kwenye akili
  12. Tajiri Tanzanite

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    Kwanza ni nimesoma sentensi moja ya comment yako tu,baada ya hapo sikuendelea tena. Comements yako inashira wewe ni wakala wa shetani unayejaribu kuja kwa sura ya malaika kumtetea bwana wako...kaa mbali na nami..mimi hunibadilishi kwa chochote juu ya msimami wangu
  13. Tajiri Tanzanite

    Yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake

    Hapo vip, Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa. Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake. Kwasababu tokea Dunia kuumbwa na yanga kuanzishwa ndio mara a...
Back
Top Bottom