Recent content by Sunday Ngakama

  1. Sunday Ngakama

    Nitapataje JF application kwa ajili ya Window Phone ?

    Nimejaribu kuangalia JF app kwa ajili ya Windows Phone kwenye window store, lakini sijaiona. JamiiForums, Maxence Melo, lini mtaitengeneza?
  2. Sunday Ngakama

    How do i close a pop-up ad that do not have a close button ?

    Njia nyingine rahisi unabonyeza button "Esc" . Inapotea mara moja
  3. Sunday Ngakama

    HOAX: NASA Confirms Earth Will Experience 6 Days of Total Darkness in December 2014!

    No such thing as days of darkness, NASA confirmation
  4. Sunday Ngakama

    Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

    Ni wazo zuri sana. Mkuu mafioso, nitakupm muda si mrefu.
  5. Sunday Ngakama

    How to Protect Facebook Account from Hacker

    Na browser nazo zinachangia sana. mfano internet exproler.
  6. Sunday Ngakama

    Modern Thieves

    MziziMkavu, hao jamaa watakuwa wanakwepa ushuru wa forodha.
  7. Sunday Ngakama

    show off: MtaaWaSaba.com

    Imekuwaje tena wakuu, nimetembelea nikakutana n a kitu hii: 500 Internal Server ErrorAn internal server error has occured.Powered By LiteSpeed Web Server LiteSpeed Technologies is not responsible for administration and contents of this web site!
  8. Sunday Ngakama

    Jinsi ya ku-secure switch yako ya cisco

    Mi mgeni haya mambo, ila si vibaya kujifunza kitu kipya. Thanks Young Master,
  9. Sunday Ngakama

    Happy Birthday Superman!

    Superman, naomba nikutakie heri ya mwaka mpya pia!
  10. Sunday Ngakama

    nimetafakari saanaa! nikakoswa jibu!

    It's your opinion.
  11. Sunday Ngakama

    nimetafakari saanaa! nikakoswa jibu!

    Asante sana kwa michango yenu wadau. wenye kunielewa wamenielewa. wengine mmejiuliza na kujibu wenyewe. wengine wanajifanya wanaijua sana katiba, wanazi kweli kweli. Mlioshindwa kunielewa msome hapa
  12. Sunday Ngakama

    nimetafakari saanaa! nikakoswa jibu!

    Nimekutana na hii picha ya Obama akikimbizana na mtoto mdogo ikulu. unajua ni nadra sana kwa kiongozi wa taifa kufanya mambo kama haya. huu ni uvivu wa kufanya kazi ama ni mapenzi kwa watoto?. Na Tanzania je , katiba inaruhusu kufanya mambo kama haya? tupia maoni yako Mdau..
Back
Top Bottom