Hizi kampuni zote za simu ni wababaishaji na Zain wamezidi. Jamani toeni huduma safi ya mawasiliano. Hizi promotion zenu za ajabu ajabu angalau basi tuambieni kama ni biashara nyengine kabisa. Biashara ya bahati nasibu. Pata potea. Tena wala si bure.
Zamani nikipata air time za bure kila baada...
Ujanja huu umeshapata wajanja. Last week walinijia wawili wakipose
kama wahusika wa ukaguzi wa vifaa vya zima moto kamili na vitambulisho
vyao. Mmoja anajitambulisha kama sergent wa polisi. Walinipa form nijaze
na kuniomba shs. 100,000. kama ada ya kutowa certificate. Niligutuka
nikawa...
Usafi bwana ni maumbile ya mtu. Mchafu ni mchafu tu. Kwanza, kwani lazima pipa la taka liwe bovu na chafu au kizoleya taka kiwe kichafu.
Angaliya haya magari yetu yakuzolea taka, lipi zuri kwa sura au ubora.
Nashangaa traffic huya pita tu huku wameziba pua. Sheria gani inawaruhusu wenye magari...
Do unto others as you would unto you. Wema hulipwa na wema na uwovu hulipwa na uwovu. Sijui utahisije itakapo fika zam yako kuwemo kwenye scandal mbaya kuliko hii. Jitayarishe.
Mie natoa ushauri tu kwa wale wote waislam na waso waislam. Someni kitabu cha Haroon Yahya 'The miracles of ALLAH in the Koran'. Ukweli wa kipi kitabu chenye maneno sahihi ya Mwenyezi Mungu mtaupata.
Kwani sh. Zitto- haiwezekani kuwa na serikali ndani ya serikali. Kwanini vyama vya upinzani visianze kuchochea mabadiliko ya uchumi. Kama wanavijiji wanyonge wakihamasishwa na kuongozwa kujiletea mabadiliko si ndo maendeleo yenyewe.
I accept your thinking. I also think kwamba tatizo letu hasa ni kwamba we lack total commitment and we always look for short cuts to our problems. During the last few years yale mambo ambayo yalijitokeza kuelekeya kuwa tatizo tulijaribu kuyapa sifa ya uzuri au uwepesi. Maneno mengi mazuri mazuri...
Nasikia mjasiriamali mmoja wa kiingereza ameanza kutengeneza sandals hizi London akiziita MBT. Maana yake ni "masai bare foot travel". Demand ni kubwa na jamaa kawa millionare kwa muda mfupi. Haya wajasiriamali changamkeni. Opportunities knock but once.
Sasa mambo yataharibika. Naomba ufafanuzi kuhusu "mbwa kujazana misikitini." Hakika sijaelewa vizuri. Jazba linanipanda, hasira zinani kolea. Hebu tuelimishe kabla hatujapasuka.This is serious- very serious.
ni bahati mbaya kuwa huyu ni mhindi. Na kwa sababu ya uhindi wake kabila lake lote limetukanika. Laiti kama huyu angekuwa mchaga sijui kama kabila lote la wachaga lingetukanwa. STOP BEING PETTY MINDED.
Siku zote muonewa ndie anaye lalamika. Kwa nini malalamiko ya wa Zanzibari hayeshi au haya tatuliwi kwa namna yeyeto ile. Kwa nini wa Tanganyika wanganganie ule usemi wa changu -changu chako chetu. Wana sababu gani ya kukubali hivyo. Kuna sera ya kujificha hapa.
Mnalaumu bure jamani. Vya dhulma hupotea bila ya huruma.Dhulma ngapi zimepita hapa. Nyumba, viwanda, mashamba nk zilitaifishwa bila ya fidia au huruma. Mwenyezi Mungu ana balance accounts zake.Hata kura za wanyonge zimeibiwa. Hao hao mafisadi wangapi walishinda uchaguzi kihalali. Dawa ni...
Zanzibar ilikuwa koloni la muingereza. Ikawa nchi huru. Ikachotwa tena ikawa koloni la Tanganyika kwa jina la Tanzania. Msishangae huu ndio ukweli! Kama ni nchi ishindweje kujiunga na OIC au inakuwaje mambo yake yaamuliwe Dodoma na Butiama. Inanikumbusha huko nyuma wakati wa ukoloni wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.