Recent content by step

  1. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Natumai katibu wa mbunge naye anayaona, kama Sanga anapata changamoto basi katibu wa mbunge awe back up, atujuze maendeleo ya huko. kunamichango ya maana sana humu na ninawasiwasi mtaikosa kama hali hii itadumu. Hatahivyo naamini ni sula la muda tu timu itakuwa vzr.
  2. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Tunashukuru, tunaimani na kazi nzuri mnayofanya.
  3. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Great, thanks. I see we are moving.
  4. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Bwana Sanga hiyo tenda ya ujenzi wa stendi mbona imekawia sana kutolewa majibu, matumaini watu walioomba wamejipanga kwa muda mrefu msiwakatishe tamaa hebu tangazeni watu waanze kujenga wakati huu maji hata ya mvua yanapatikana....
  5. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Great, usichoke kutujuza. Natumaini matokeo ya zabuni za walioshinda vibanda stendi yatatangazwa mapema kipindi hiki maji yanapatikana ili ujenzi uwe rahisi.
  6. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Tunashukuru timu nzima ya halmashauri ikishirikiana kwa karibu na mbunge na timu yake, haya ni mambo ya kuendelezwa. you have been a good team big up guys..
  7. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Great, well planned. Kiu ya wadau hapa ni ya muda mrefu ila mnakwenda na ratiba japokuwa changamoto za hapa na pale zipo. Mipango ya muda mrefu ya maendeleo ianze kujadiliwa na iwekewe utaratibu wa implementation hata vizazi vinavyokua hivi sasa wakue na matarajio hayo.
  8. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Nahukuru kwa kuliona hilo afisa habari. Ninafahamu viongozi wote (Mbunge, katibu, halmashauri na maafisa wake) wanasoma uzi huu, kwani una michango mizuri sana. Kwa kuwa technolojia ya habari imekuwa sana. Ninawashauri sasa muweke facebook page ya mji ili taarifa zisambae kwa kasi zaidi, ni...
  9. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Habari ya asubuhi, niwape pongezi sana kwa maendeleo ya kazi hizi. Pili huko nyuma nilizungumzia suala la kupanda miti hasa na sasa tunaona maji yameanza kupatikana. Je kuna plan yeyote ya kupanda miti hapo stendi mpya au katika shule na zahanati zinazoboreshwa. Hiyo stendi inaonekana kama...
  10. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Kulikuwa na wazo la kuongeza sekondari zaidi za serikali kutoka kwa wadau hapa, najua suala hili ni la muda mrefu na linahitaji pesa, vipi viongozi hapo mmejipangaje hata tu majadiliano ya ku identify/kutafuta eneo au uwanja yanafanyika au suala hili halijapewa kipaumbele...Naomba mtujuze
  11. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Kwa wale waliopata nafasi kutembelea mji wa Moshi pale kuna sehemu inaitwa Uhuru park Ukiingia ndani utaona mpangilio mzuri wa vibanda vya huduma ya chakula hii inaweza pia kutumika kwa stendi ili kuboresha mazingira ya utoaji huduma hii
  12. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Tunashukuru Afisa habari kwa mrejesho, mi nashauri mngeweza pia kuweka kwenye magroup aina za biashara au vibanda , kama vile vibanda vya maduka ya mahitaji ya kawaida , maduka ya dawa , huduma ya chakula , huduma ya benki i.e ATM , ofisi, na nyingine ambazo ujenzi wake wa mabanda una...
  13. S

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Wana Nzega vp katibu wa mbunge na afisa habari kimya shwari lakini....Niwatakie Sikukuu njema na heri na baraka nyingi ktk 2017. Natumai 2017 utakuwa wa mafanikio zaidi
Back
Top Bottom