Nimekuandalia mbinu 20 za namna bora ya kuandika habari za mabadiliko ya tabianchi. Mbinu hizi zimetokana na maoni yangu binafsi ambayo yamepitiwa na Mhariri wa jarida la Mtandaoni la Indian Ocean na Mchambuzi wa mambo ya mazingira katika ukanda wa bahari nchini Kenya, Wanjohi Kabukuru, naamini...
Kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam Tanzania (DAR), kimetajwa katika orodha ya viwanja vya ndege vilivyo vibaya zaidi barani Afrika kwa mwaka 2014.
Picha kwa hisani ya Roland, http://www.flickr.com/photos/43532166@N00/4745639378
Kwa...
Nahitaji kujua mambo matatu waungwana
1. Upatikanaji wa mbegu za bata mzinga, pengine bata mzinga ambaye anaweza kutaga au vifaranga. 2. Chakula chake ni kama cha kuku wa kawaida au?
3. Banda la kufugia ni kama la kuku tu au likoje?
Habari zilizotufikia punde zinaeleza kuwa kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wa daladala kwenye Manispaa ya Morogoro. Mgomo huo utazihusisha daladala za maeneo yote ya manispaa ya Morogoro jambo ambalo litapelekea kuwepo kwa shida kubwa ya usafiri mjini hapa.
Sababu za kufanya mgomo huo...
WIZARA ya afya na ustawi wa jamii imetuma wataalam katika kisiwa cha Musira kilichoko katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa ndege wa ajabu ambao kuku au mbuzi wakila kinyesi chao wanakufa.
Kutumwa kwa wataalam hao kumetokana na taarifa ya mkuu wa mkoa wa...
Mwaka huu umeanza kwa aina yake kwa serikali ya Tanzania, vyombo vya habari wa mataifa ya nje ambavyo ndio hasa vimekuwa vikiaminiwa na viongozi wetu wengi kwa kuvipa ushirikiano mkubwa vinapohitaji ufafanuzi wa mambo fulani na kuvipuuza vyombo vya nyumbani na waandishi wake.
Sasa...
TAHADHARI:
1. UPEPO MKALI NA MAWIBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
2. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO RUVUMA, LINDI, MTWARA MOROGORO KUSINI, SINGIDA NA TABORA.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
UTABIRI WA...
Jengeni utaratibu wa kusoma utabiri wa hali ya hewa kila siku, jana TMA walitoa tahadhali hii.
TAHADHARI:
UPEPO MKALI NA MAWIBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO RUVUMA...
Wana jamvi nilikuwa porini nimeona nirejee na zawadi hii, tukio hili limetokea si mbali ni hapa hapa nyumbani Tanzania, kule Serengeti National Park, simba kajifanya kumchokoza tembo kilichomkuta anakijua mwenyewe
ili kujinusuru na maisha yake alikimbia na kwenda kupanda mti.
Sijui nani...
Tunapokaribisha mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka huu.
Basi katika swala la mavazi na viambatana vyake nimeona ni vyema kushare nawe viatu vya...
Nimeupata ujumbe huu mahala nikaona niupitishe na kwenu wanajukwaa
"Wanaotajwa sana kulingana na vyanzo mbalimbali na nukuu katika baadhi ya vyombo vya habari ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya DCP Diwani Athumani,cheo ambacho ametunukiwa hivi karibuni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.