Search results

  1. S

    Mbinu 20 za kuandika habari za mabadiliko ya tabianchi

    Nimekuandalia mbinu 20 za namna bora ya kuandika habari za mabadiliko ya tabianchi. Mbinu hizi zimetokana na maoni yangu binafsi ambayo yamepitiwa na Mhariri wa jarida la Mtandaoni la Indian Ocean na Mchambuzi wa mambo ya mazingira katika ukanda wa bahari nchini Kenya, Wanjohi Kabukuru, naamini...
  2. S

    JNIA among Africa's worst airports

    Kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam Tanzania (DAR), kimetajwa katika orodha ya viwanja vya ndege vilivyo vibaya zaidi barani Afrika kwa mwaka 2014. Picha kwa hisani ya Roland, http://www.flickr.com/photos/43532166@N00/4745639378 Kwa...
  3. S

    Msaada: Mbegu za bata mziga/vifaranga vinapatikana wapi?

    Nahitaji kujua mambo matatu waungwana 1. Upatikanaji wa mbegu za bata mzinga, pengine bata mzinga ambaye anaweza kutaga au vifaranga. 2. Chakula chake ni kama cha kuku wa kawaida au? 3. Banda la kufugia ni kama la kuku tu au likoje?
  4. S

    Msaada wajameni: Hoteli gani zina swimming pool mkoani Morogoro?

    Ndugu zangu naulizeni wenye majina ya hoteli zenye swimming pool mkoani morogoro, ni research ndugu zangu
  5. S

    Kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wa daladala Manispaa ya Morogoro, jiandaeni

    Habari zilizotufikia punde zinaeleza kuwa kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wa daladala kwenye Manispaa ya Morogoro. Mgomo huo utazihusisha daladala za maeneo yote ya manispaa ya Morogoro jambo ambalo litapelekea kuwepo kwa shida kubwa ya usafiri mjini hapa. Sababu za kufanya mgomo huo...
  6. S

    Uvamizi wa Ndege wenye kinyesi cha ajabu Kagera

    WIZARA ya afya na ustawi wa jamii imetuma wataalam katika kisiwa cha Musira kilichoko katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa ndege wa ajabu ambao kuku au mbuzi wakila kinyesi chao wanakufa. Kutumwa kwa wataalam hao kumetokana na taarifa ya mkuu wa mkoa wa...
  7. S

    Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    Mwaka huu umeanza kwa aina yake kwa serikali ya Tanzania, vyombo vya habari wa mataifa ya nje ambavyo ndio hasa vimekuwa vikiaminiwa na viongozi wetu wengi kwa kuvipa ushirikiano mkubwa vinapohitaji ufafanuzi wa mambo fulani na kuvipuuza vyombo vya nyumbani na waandishi wake. Sasa...
  8. S

    TMA wametoa tena tahadhali ya kuwepo kwa upepo na mvua kubwa usiku wa Feb 7, 2014, isome hapa

    Inawezekana pia ila Arusha utabiri unasema kutakuwa na Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
  9. S

    TMA wametoa tena tahadhali ya kuwepo kwa upepo na mvua kubwa usiku wa Feb 7, 2014, isome hapa

    TAHADHARI: 1. UPEPO MKALI NA MAWIBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO RUVUMA, LINDI, MTWARA MOROGORO KUSINI, SINGIDA NA TABORA.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI. UTABIRI WA...
  10. S

    Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Jengeni utaratibu wa kusoma utabiri wa hali ya hewa kila siku, jana TMA walitoa tahadhali hii. TAHADHARI: UPEPO MKALI NA MAWIBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO RUVUMA...
  11. S

    Brave elephant chases lion up a tree in Tanzania, as couple watches in amazement

    Wana jamvi nilikuwa porini nimeona nirejee na zawadi hii, tukio hili limetokea si mbali ni hapa hapa nyumbani Tanzania, kule Serengeti National Park, simba kajifanya kumchokoza tembo kilichomkuta anakijua mwenyewe ili kujinusuru na maisha yake alikimbia na kwenda kupanda mti. Sijui nani...
  12. S

    Picha: Jionee design mpya ya 2014 ya mikoba na viatu vilivyotengenezwa kwa kutumia vitenge

    Tunapokaribisha mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka huu. Basi katika swala la mavazi na viambatana vyake nimeona ni vyema kushare nawe viatu vya...
  13. S

    Nani kati ya hawa kurithi mikoba ya IGP Said Mwema?

    Nimeupata ujumbe huu mahala nikaona niupitishe na kwenu wanajukwaa "Wanaotajwa sana kulingana na vyanzo mbalimbali na nukuu katika baadhi ya vyombo vya habari ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya DCP Diwani Athumani,cheo ambacho ametunukiwa hivi karibuni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza...
  14. S

    Niliyojifunza kwenye safari yangu na Auric Air kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam

    unisaidie hapo, na kama ni kihonda hiyo inaitwa kihonda gani vile?
  15. S

    Niliyojifunza kwenye safari yangu na Auric Air kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam

    kwanza nashukuru kwa kunipongeza kwa kupanda ndege, pili nitazingatia ushauri wako
Back
Top Bottom