Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
Kwa aliyefuatilia mjadala HotMix EATV ataamini kuwa kuna uchakachuaji wa hali ya juu kuhusu idadi ya wajumbe. Takwimu zilizo kwenye katiba zinaonesha Zanzibar wajumbe 212 na Bara 416 jumla 628. 2/3 ya zanzibar kwa takwimu hizi ni wajumbe 142. Siku ya kutangazwa matokeo tuliambiwa na katibu wa...
Hii CCM naona imekuwa ya Konda Chabruma na Babake 6 tu! Iwe bungeni au kwenye mitandao wewe ndo unajifanya mzalendo sana. Unajua unafanya hayo kumuokoa 6 lakini tambua kuna vijana wenye uwezo mkubwa tunaumia sana kusikia eti wewe unatuwakilisha vijana bungeni. Ni lini na wapi tulikutuma...
Nilikuwa vijiji vya Musoma vijijini na musoma mjini kama kuna mtu anamdanganya zitto kuwa yy ni maarufu kama zamani wanampoteza.Huko vijijini wao wanasema baada ya Zitto kuingia ile Tume ya Bomani(Madini) umaarufu uliishia hapo.Asidanganywe eti anapendwa watu wanamuona kama msaliti
Hata mimi nawapongeza sana Star Tv Kujitoa kwao kumesaidia sana habari zao za kichama zaidi zisiwafikie watz wenye visimbuzi vya startimes ambazo zinapotosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.