Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
Kwa aliyefuatilia mjadala HotMix EATV ataamini kuwa kuna uchakachuaji wa hali ya juu kuhusu idadi ya wajumbe. Takwimu zilizo kwenye katiba zinaonesha Zanzibar wajumbe 212 na Bara 416 jumla 628. 2/3 ya zanzibar kwa takwimu hizi ni wajumbe 142. Siku ya kutangazwa matokeo tuliambiwa na katibu wa...
Hii CCM naona imekuwa ya Konda Chabruma na Babake 6 tu! Iwe bungeni au kwenye mitandao wewe ndo unajifanya mzalendo sana. Unajua unafanya hayo kumuokoa 6 lakini tambua kuna vijana wenye uwezo mkubwa tunaumia sana kusikia eti wewe unatuwakilisha vijana bungeni. Ni lini na wapi tulikutuma...
Nilikuwa vijiji vya Musoma vijijini na musoma mjini kama kuna mtu anamdanganya zitto kuwa yy ni maarufu kama zamani wanampoteza.Huko vijijini wao wanasema baada ya Zitto kuingia ile Tume ya Bomani(Madini) umaarufu uliishia hapo.Asidanganywe eti anapendwa watu wanamuona kama msaliti
Hata mimi nawapongeza sana Star Tv Kujitoa kwao kumesaidia sana habari zao za kichama zaidi zisiwafikie watz wenye visimbuzi vya startimes ambazo zinapotosha
Umaskini ni kitu kibaya sana huwa nikipita Dodoma na mikoa mingine ya kanda ya kati zile nyumba za tembe zinanifanya nijiulize maswali mengi sana! Tulipata uhuru ili iweje? Siku wakijua haki zao na anayesababisha umaskini wao hapatakalika.Hata kama mkutano wa CDM ulikuwa na watu 1000 kwa Dodoma...
Kaongea hayo maneno ila ni watu wameamua tu kupotosha kwa sababu ya njaa zao tu.Anamkataza waziri asijibu hoja za wapinzani cha ajabu na yeye anaongelea hayo hayo then anaunga mkono hoja kwa asilimia 100
Nadhani lengo la Lissu kusimama ilikuwa amwombe Mwigulu athibitishe kauli ya Dr Slaa kukutana na viongozi wa dini na Ndugai analijua hilo ndo maana kamnyima fursa.Ila na wabunge wengine wa chadema wawe sharp na si kumwachia Lissu peke yake ataonekana mkorofi
Mkuu hamna gazeti nililokuwa naliamini kuliko hili na kila siku ilikuwa lazima nitoe mia 800 yangu lakini sasa hivi nalisoma online tu.Mmiliki wa gazeti inabidi achukue hatua la sivyo mapato yatapungua siku hadi siku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.