Bei ya mashamba ni kuanzia 200,000 - 700,000 kwa ekari, bei ni kulingana na umbari kutoka mjini, Ukaribu au uwepo wa maji, Pia yapo yaliyofyekwa na ambayo hayajaandaliwa. Iringa imejariwa na ukanda unaokubari vilimo vya aina nyingi sana kama matunda, Mboga mboga na mazao yote ya chakula. Pia...
Wiki kadhaa zilizopita baada ya kutangaza ninauza shamba la ekari 589, lililopo iringa wilaya ya kilolo.. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba kuanzia ekari moja na keuendelea.
Sasa kwa watu wote wanaohitaji mashamba huku pande za iringa wawasiliane na mimi. Sitaongeza au kupunguza bei...
Kwa bei nliyokutajia hapo ni kwa shamba lenye hati kamili, lina maji na lipo ndani ya km 70. Bei chini ya hapa ni mashamba ambayo yako mbali zaidi hayana hati pia yanaeza kua hayana maji
Bei ya mashamba ni kuanzia 200,000 - 700,000 kwa ekari, bei ni kulingana na umbari kutoka mjini, Ukaribu au uwepo wa maji, Pia yapo yaliyofyekwa na ambayo hayajaandaliwa. Iringa imejariwa na ukanda unaokubari vilimo vya aina nyingi sana kama matunda, Mboga mboga na mazao yote ya chakula. Pia...
Wiki kadhaa zilizopita nlitanga kuuza shamba ekari 589 iringa wilaya ya kilolo. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba pande za huku Iringa.
Sasa kwa wote ambao wapo sereous wanahitaji mashamba tuwasiliana kwa sharti la gharama ya huduma ni 5% bei ya mauzo ya shamba.
Mawasiliano: 0718...
Wiki kadhaa zilizopita baada ya kutangaza ninauza shamba la ekari 589, lililopo iringa wilaya ya kilolo.. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba kuanzia ekari moja na keuendelea.
Sasa kwa watu wote wanaohitaji mashamba huku pande za iringa wawasiliane na mimi. Sitaongeza au kupunguza bei...
Kuna mahindi ambayo uvunaji wake unaendelea, Ni ekari 100 tu zilizokua zimelimwa mahindi, Ekari 70 nafanya kilimo cha umwagiriaji cha mboga mboga na matunda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.