Search results

  1. S

    Dalali mashamba iringa

    Yeyote anaehitaji mashamba ya kununua iringa ani pm, kwa sharti la kulipia 5% ya bei ya shamba ntakalo mtafutia na yeye kufanikiwa kununua.
  2. S

    Shamba ekari 589 linauzwa Iringa

    Bei ya mashamba ni kuanzia 200,000 - 700,000 kwa ekari, bei ni kulingana na umbari kutoka mjini, Ukaribu au uwepo wa maji, Pia yapo yaliyofyekwa na ambayo hayajaandaliwa. Iringa imejariwa na ukanda unaokubari vilimo vya aina nyingi sana kama matunda, Mboga mboga na mazao yote ya chakula. Pia...
  3. S

    Shamba ekari 589 linauzwa Iringa

    Wiki kadhaa zilizopita baada ya kutangaza ninauza shamba la ekari 589, lililopo iringa wilaya ya kilolo.. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba kuanzia ekari moja na keuendelea. Sasa kwa watu wote wanaohitaji mashamba huku pande za iringa wawasiliane na mimi. Sitaongeza au kupunguza bei...
  4. S

    Shamba ekari 589 linauzwa Iringa

    Kwa yeyote alie serious anahitaji shamba anipm tufanye mazungumzi
  5. S

    Shamba linauzwa Iringa

    Yeyote alieserious anahitaji shamba anipm tufanye mazungumzo
  6. S

    Shamba linauzwa Iringa

    Shamba lipo kiponzelo
  7. S

    Shamba linauzwa iringa

    Kwa alie serious anahitaji shamba anipm tufanye mazungumzo.
  8. S

    Dalali mashamba iringa

    Kwa bei nliyokutajia hapo ni kwa shamba lenye hati kamili, lina maji na lipo ndani ya km 70. Bei chini ya hapa ni mashamba ambayo yako mbali zaidi hayana hati pia yanaeza kua hayana maji
  9. S

    Dalali mashamba iringa

    Kwa mahitaji hayo utapata kwa 550,000/= km 70 kutoka iringa mjini
  10. S

    Dalali mashamba iringa

    Bei ya mashamba ni kuanzia 200,000 - 700,000 kwa ekari, bei ni kulingana na umbari kutoka mjini, Ukaribu au uwepo wa maji, Pia yapo yaliyofyekwa na ambayo hayajaandaliwa. Iringa imejariwa na ukanda unaokubari vilimo vya aina nyingi sana kama matunda, Mboga mboga na mazao yote ya chakula. Pia...
  11. S

    Dalali mashamba Iringa

    Wiki kadhaa zilizopita nlitanga kuuza shamba ekari 589 iringa wilaya ya kilolo. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba pande za huku Iringa. Sasa kwa wote ambao wapo sereous wanahitaji mashamba tuwasiliana kwa sharti la gharama ya huduma ni 5% bei ya mauzo ya shamba. Mawasiliano: 0718...
  12. S

    Dalali mashamba iringa

    Wiki kadhaa zilizopita baada ya kutangaza ninauza shamba la ekari 589, lililopo iringa wilaya ya kilolo.. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba kuanzia ekari moja na keuendelea. Sasa kwa watu wote wanaohitaji mashamba huku pande za iringa wawasiliane na mimi. Sitaongeza au kupunguza bei...
  13. S

    Shamba linauzwa iringa

    Pia ukijumlisha unaweza fanya kilimo cha umwagiriaji mwaka mzima bila ya kusimama.
  14. S

    Shamba linauzwa iringa

    Unachosema ni kweli kabisa lakini pia ardhi inapanda thamani kila kukicha..
  15. S

    Shamba linauzwa iringa

    Kuna mahindi ambayo uvunaji wake unaendelea, Ni ekari 100 tu zilizokua zimelimwa mahindi, Ekari 70 nafanya kilimo cha umwagiriaji cha mboga mboga na matunda
  16. S

    Shamba linauzwa iringa

    Lipo kiponzero kwa wale wenyeji wa iringa.
  17. S

    Shamba linauzwa iringa

    Kuna uwezekano wa watu kujiunga katika kikundi ambao wanaaminiana wakachanga mtaji na kununua pamoja, arafu baada ya hapo wakagawana.
  18. S

    Shamba linauzwa iringa

    Nauza shamba lote, Siuzi kwa ekari *Bei ni 400 mill *Barabara inayoelekea mbeya upande wa kulia. *Lina hati kubwa.
  19. S

    Shamba ekari 589 linauzwa Iringa

    Kwa wote wanaotaka shamba kwa ajili ya kilimo cha miti au mazao tofauti.. Ninauza shamba la ekari 589, *Mto usiokauka umepita katikati ya shamba, *Barabara nzuri mpaka shambani pia km 50 kutoka iringa mjini mpaka shambani. Kwa mawasiliano: 0718 835 549
  20. S

Back
Top Bottom