Recent content by simon mato

  1. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Hakuna njaa CCM Bali kuna wachache tuuh CCM wenye njaa!! Ila vyama vyenu hivo ndo vina njaa Kali sanaa ndo maana mnataka kuuana kisa ofisi ya chama tuuh
  2. simon mato

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Niambie na ikiwezekana weka ushaidi wako humu ni siku gani Lema, Lissu su Mbowe au yeyote yule kutoka upinzani aliyetishiwa na bastola hadharani tena mchana kweupe mbele ya kamera!! Ukitoa ushaiji ni bora nisiwe member wa Jf kwanzia Leo kwa sababu nyie mnapenda kuweka propaganda hadi kwenye...
  3. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Kuweni waelewa Huyu anakuja kama chama na siyo kama serikali Kinana siyo Afisa wa serikali ni Katibu Mkuu wa chama
  4. simon mato

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Hujui ulisemalo kwani hao unawadharau leo wakija kwenu mtawapokea kama watume na wafalme tena mtawasujudu kuliko ata Mwenyekiti wenu wa chama kwakuwa waliandaliwa kuwa viongozi bora na si kuwa watawala....
  5. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Kumbuka enzi hizo tupo porini tunakufa na kupona usiku na mchana kwa sababu ya chama wengine wanakula maisha Corner Bar, Dar live Leaders club halafu leo baada ya kuifadi matunda tuliyoiangaikia tunamwagiwa maji ya moto duuuh
  6. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Tiyari Comrade Mwighuru Nchemba ashaagiza yule askari akaangwe kabisa kwa sababu hajui ni mambo mangapi Nape Nauye kapitia mpaka CCM ipo madarakani mpaka leo
  7. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Kama uwezo wako wa akili upo sahihi huwezi kulinganisha kazi ya Nape Nauye na E.lowasa ndani ya CCM hiyoo kamuulize ata Lowasa mwenyewe atakupa jibu
  8. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Ndo maana chama chenu hakiwezi kupiga hatua mbele bila kukopa watu CCM kwa sababu akili zenu zimeganda na viongozi wenu hivohivo..... Mnaishi kwa kufikiri , kutabiri na kupiga ramlii tushawazoea lakini
  9. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Akijiuzulu wewe utapata faida gani??
  10. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Ni katibu wetu sisi wengine kama siyo katibu wakoo
  11. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Asante kwa kumuuliza huyu kiumbe swali nzuri naamini atakupa jibu nzuri
  12. simon mato

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Mmmmh mbna mnapenda kuishi kwa mawazo mgando namna hii CCM ni chama makini siku zote hakifanyi mambo yake bila kufuata utaratibu
Back
Top Bottom