Recent content by siata

  1. S

    Watumishi wa Umma kucheka au kulia

    Ongezeko ni elfu 20 kwa taasisi na elfu 50 kwa Serikali kuu na Serikali za mitaa. Ikiwa tofauti na hivi mniuweeee
  2. S

    Waziri Ummy Mwalimu afanya ziara ya kushtukiza Mloganzila

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwa na imani na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila. Waziri Ummy ameyasema hayo leo mara baada ya kufanya ziara hospitalini hapa kwa lengo la kufahamu...
  3. S

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA. Dar es Salaam. 06 Januari, 2020 Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
  4. S

    Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Hizi taarifa siyo za kweli jamani , Uongozi wa Hospitali umekuja na takwimu , vifo vimepungua.
  5. S

    Mama ni dhahabu ukimkosa utapata shida; ahimidiwe mfariji wetu Mungu wa mbinguni

    Huu uzi umenikumbusha usiku wa tarehe 7.11.2006 ,nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza udsm. Nilirudi nyumbani kwa maoumziko ya weekend mnamo tar 4 ambapo nilimkuta mam Yangu mpendwa amepika chapati na njegere alinisihi nile ila by thn sikuwa na hamu ya kula kbs ila ilinibidi nile kidogo...
  6. S

    Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Wadau, Naombeni msaada juu ya hili,mm ni mtumishi wa Umma ni mtumishi mpya,kwa bahati mbaya sikupata maelezo ya kutosha juu ya mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii nimejikuta nimejiunga na mfuko ambao hauna mafao bora hivyo nataka kuhama kuhamia mfuko mwingine,swali langu je inawezekana kwa...
  7. S

    Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Wadau, Naombeni msaada juu ya hili,mm ni mtumishi wa Umma ni mtumishi mpya,kwa bahati mbaya sikupata maelezo ya kutosha juu ya mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii nimejikuta nimejiunga na mfuko ambao hauna mafao bora hivyo nataka kuhama kuhamia mfuko mwingine,swali langu je inawezekana kwa...
  8. S

    Karibuni Tamasha la kimataifa la 33 la sanaa na utamaduni Bagamoyo

    Tamasha hili litahusisha vikundi vya nndani vya Tanzania,jumla ya vikundi 136 vimethibitisha kushiriki vikiwemo vikundi 5 kutoka nje ya nchi vikundi hvyo ni kutoka norway,german,kenya na bbrazil Tamasha hili ambalo hufanyika kila mwaka huandaliwa na taasisi ya sanaa ns utamaduni...
  9. S

    Kwa wakazi na wenyeji wa Bagamoyo

    Habari wadau, Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000 msaada tafadhali
  10. S

    Mjumbe mwenye umri mdogo BMK ataka bunge lisitishwe

    wasaka tonge kazini
  11. S

    Wale waliomba awareness creation officer

    mwaka jana watu walidhulumiwa hawa jamaa wezi.
  12. S

    Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

    Matapeli hao achaneni nao,transaction zote za kiofisi zinafanyika through bank,wao wametoa namba za simu,wezi hao wanataka kuwaibia wadogo zetu.
  13. S

    Operation manager

    Okwili hiyo nafasi tayari imepata mtu,hata sijui kwa nini umeweka hili tangazo humu.
  14. S

    Toyota Starlet

    Maongezi yapo kdg mkuu
Back
Top Bottom