Pole my dear,mim nilitolewa mwk jana ila ulikuwa mkubwa sn kilo nane ningekuwa najua kurusha picha ningekuwekea uone labda kwa whatsap..ila km umefikia tumbo linavimba nenda tu katoe kwa dawa ni uongo ht mm nilishahainga sn ila wk wenye bht unaisha km ukiwah
Nimefurahi sana kwa utaratibu huu wa jkt kuchukua vijana wetu pind wanapohitim kwani unaweza kuwa msomi lkn ukakosa nidham ya kaz pamoja na madili mbel ya jamii..kwa walmu inasaidia ukizingatia weng wanaomaliza kw kipind hik wanaumri mdg hvy wanapomaliza nakuripot kwny vituo wanashindw...
Wanawake ndo vinara wakuhama makanisa nakuwapeleka waume zao..kuweni makini na makanisa yanayoanza ibada saa sita..na asilimia kubwa nyuma yake kuna maroho ya uzinz..bakini kwny din zenu achen kutafuta mijuza na short za maisha..fanyani kaz huku mkimwomba mungu..
Hawa ndio watu wanaotakiwa kupigwa mawe hadi kufa..ht wakifungwa maisha bd haitalipa mateso na maumivu ya huyo mtoto..wanawake badiliken watoto hawana makosa jmn..nimeumia sana khs huyo mtoto
Pole sana kwa msiba wa mwanao uliymtarajia..mungu awatie nguvu hasa mama yake aliyebeba miez tisa..awajalie wepes ktk kipind hiki nakuwapa moyo wakusahau na kisha awape mwngne kwa kadri ya haja ya moyo wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.