Search results

  1. S

    Msaada kwa anayejua jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama

    mi nahitaji hzo namba za doctor wa kuku nipo arusha msaada tafadhali cjui nmna yakuku pm.
  2. S

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    mi naomba kujua matumiz ya super grow kwn nafuga kuku wa nyama nipo arusha..nahitaj kuitumia
  3. S

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hivi kwanini hamtoa mkopo kwa dhamana ya mshahara kwa mteja ambae mshahara wake unapitia nmb
  4. S

    Mkuu wa kituo cha Polisi Usa Riva apata Ajali mbaya na kufariki dunia

    Ukiona mtu anafurahia kifo cha mwenzake ujue huyo kaz yake ni kuua na hapend polis kwa sbb ni namba moja wakuvunja sheria.
  5. S

    Nauza mbao

    Unapatkna Mtaa gani mkuu
  6. S

    Msaada kwa anayeuelewa ugonjwa wa OVARIAN CYST

    Na ukipasukia tumboni nayo ni hatar hvy jrb kufanya mamuzi sahihi..mm ulikuwa unatema sum mwilin uso nilikuwa km nimemwagiwa tindikal
  7. S

    Msaada kwa anayeuelewa ugonjwa wa OVARIAN CYST

    Pole my dear,mim nilitolewa mwk jana ila ulikuwa mkubwa sn kilo nane ningekuwa najua kurusha picha ningekuwekea uone labda kwa whatsap..ila km umefikia tumbo linavimba nenda tu katoe kwa dawa ni uongo ht mm nilishahainga sn ila wk wenye bht unaisha km ukiwah
  8. S

    Ni aibu msomi kwenda kukimbizwa JKT eti ili awe mzalendo.

    Nimefurahi sana kwa utaratibu huu wa jkt kuchukua vijana wetu pind wanapohitim kwani unaweza kuwa msomi lkn ukakosa nidham ya kaz pamoja na madili mbel ya jamii..kwa walmu inasaidia ukizingatia weng wanaomaliza kw kipind hik wanaumri mdg hvy wanapomaliza nakuripot kwny vituo wanashindw...
  9. S

    Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    Wanawake ndo vinara wakuhama makanisa nakuwapeleka waume zao..kuweni makini na makanisa yanayoanza ibada saa sita..na asilimia kubwa nyuma yake kuna maroho ya uzinz..bakini kwny din zenu achen kutafuta mijuza na short za maisha..fanyani kaz huku mkimwomba mungu..
  10. S

    Mungu amenionesha Kikwete na Kagame wanakwenda kuwa marafiki tofauti tunavyofikiri

    Wamemaliza muda wao acha kupotosha watu..na pia c kweli kuwa wameanza kuwasili nchini..
  11. S

    Hongera Jeshi la Polisi lkn Fanyeni Msako wa Wasomali wanaoishi Ar kinyume na sheria.

    C wasomali tu muhamiaji yoyote amby hayuko kihalali arudishwe alikotoka...hao ndo chanzo chakuleta majanga
  12. S

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Hawa ndio watu wanaotakiwa kupigwa mawe hadi kufa..ht wakifungwa maisha bd haitalipa mateso na maumivu ya huyo mtoto..wanawake badiliken watoto hawana makosa jmn..nimeumia sana khs huyo mtoto
  13. S

    Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

    Pole sana kwa msiba wa mwanao uliymtarajia..mungu awatie nguvu hasa mama yake aliyebeba miez tisa..awajalie wepes ktk kipind hiki nakuwapa moyo wakusahau na kisha awape mwngne kwa kadri ya haja ya moyo wenu
  14. S

    Kipimo cha Dengue

    Matibabu mema...mungu ampe nafuu mgojwa apone haraka
  15. S

    Dawa ipi itafaa kukaushia kidonda cha Opresheni?

    Tumia asali ni pia kidonda kisipate joto
  16. S

    Semina Kubwa ya Mwalimu Christopher Mwakasege Morogoro tar 6 May 2014

    Mungu akurehem mana pengne unapepo mchafu..nuru na giza havikai pamoja..hatupasw kutukana watumish wa mungi
  17. S

    Kwa walioona sherehe ya muungano jana

    Hakuna kuuana wala nn..akili zetu zinatutosha akili nying anasa
Back
Top Bottom