Unajadili udini?hata ungelikuwa na hoja kama mlima lakini,kujadili udini ni suala ambalo watu wenye silka hiyo,ni wale ambao nao ni wadini,nadhan tujadili mambo yanayoweza kutukomboa na si kutugawa,udini ukabila na ukanda yawe maswali ya mwisho kabisa hata katika mazungumzo yetu,shime tuwe wamoja
Nadhan watu hawajui kuwa Dc ana amri ya kumuweke mtu kizuizini,kwa fulan na hasa hizi kauli za kashfa ama mabishano hasa aliwa kazini,watu wasilete siasa.
Mawazo ya kizaman sana kuwa ati usawa wa kimikoa hata kama watu hawanauwezo kwa serikali makini kama hii sidhan kama anaweza kufanya ujinga huo.uwaziri si ukuu wa mkoa
Kweli kabisa hatuwezi tekewa na watu fusiowajua kwa undani,awamu hii kazi tu,umaarufu wa mtu utabainishwa na uzalendo,uadilifu,utaifa na kazi,hata awe Marekan ama wapi atapimwa kwa vigezo vyetu hivi hivi,hatutekewi safar hii na majina ama umaarufu bila rekodi
Mhhh mtu anaposema ukawa,nashangaa ni lini wamewahi kufanya mambo ya kizalendo kama ya Jpm,huyu ni kitu kingine haigi wala haigizi,so hakuna kujipa sifa hapa kuwa ati dira yake ni Ukawa,na je alipokuwa ujenzi,ilikuwa UKawa,hebu tuache hekaya sifa zake tumpe kmili kamili
Mtoa Uzi anaishi Tanzania ya lini, nahisi anaweza kuwa hayupo nchini labda,lakini mbona hata huko nje taarifa za Magufuli zimeenea,nashangaa hilo somo alikoliokota kwamba ati tujifunze huko,wakati wakenya wenyewe kwa sasa wanasoma mchezo wa Tz ya Magufuli. Ama ni post ya zaman labda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.