Recent content by Semjato

  1. S

    Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

    Exactly,mimi sijui hata 'wenye nia ovu' wameingiaje ghafla hivi,hawa watetezi wa ndugu mwenyekiti wapo shallow mno
  2. S

    Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

    Yaani huyo mtu alichoka na steve hakusikia kama amesema amechoka akaisambaza hivyo hivyo?sikilizeni nyie,acheni kutumia manguvu mengi kukanusha,kausheni maisha yaendelee tu
  3. S

    Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Kuna hii audio ya Wema akilalamika kuwa hii ya kwanza imerekodiwa na simu ya Mwenyekiti,nayo ni ya uongo?wakuu acheni kamba bana
  4. S

    Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

    Aisee unaandika vibaya,na kiingereza chako cha uongo uongo,huwezi kuolewa wewe [emoji23]
  5. S

    Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Watakuwa hao hao,usitetee ujinga
  6. S

    Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Vijana wapi?wale wanaojidai ISIS sijui Alshabab?kama ni wale acha wawauwe tu aisee,tusitaniane
  7. S

    Huyu dada ananipenda sana, ila umri wake mkubwa na ana watoto wawili

    Kwa hiyo watoto wake wanakuita nani?anko crimea?
  8. S

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    sijakuelewa vizuri,ulijuaje maongezi yao yalikuwa ni mipango ya kumhujumu Rais?unless ulikuwa mshiriki ungejuaje maongezi yanahusu nini?
  9. S

    January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

    Asante.Wahuni wanataka kutuwekea mgonjwa mwizi nyumba nyeupe na wanalazimisha iwe wanavyotaka.Kingunge ni muhuni mwenzao tu nae,anayeweza kumfikia aniulizie kwa Kingunge,kama angepitishwa Lowasa kwa mchakato huo huo uliotumika,ungekuwa wa halali?
  10. S

    Fid Q, How do you explain this brother?

    akiwa anaongelewa Top Rap Elite wa bongo ukaamua kumtaja mkuu wa wezi wa flow kwenye marapa wote wa bongo unanipasua kichwa kabisa ndugu. Eti joh pssssss.hii nyimbo unaijua?MGK 'Peso'. http://youtu.be/Y_iqKF5v4Cg
  11. S

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Huyu ana degree lakini,alisoma India..namkumbuka alisoma St Mary's hapa kabla Ya kwenda India
  12. S

    VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers}

    sijui kama ulichosema nimekielewa mpaka ulipotaka nielewe,ila swali langu linabaki hivi,kama mimi ni msanii na nataka kutoka kwa kutumia bifu,niwa'diss nani na nani kati ya vinega wanaokubalika kwa watanzania wengi ili awe 'amenibeba' na mi nifahamike??
  13. S

    VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers}

    kwani vinega wenyewe wametoka?kwamba wanaweza kutoa mtu akifanya bifu nao??
Back
Top Bottom