Katika football lolote linawezekana... Liverpoool kuna wakati alipigwa 3~0 first half lakini akawa bingwa wa uefa na ilikuwa liver mbovu sana maana ligi ya kwo walimaliza nafasi ya sita akiwa hana sifa ya kucheza uefa msimu unaofata.... Kuna waka barceleno walifungwa 5~0 na psg lakini walipindua...
Alikuwa mbumge kupitia chadema ...baadae akaunga mkono jitihada za mwendazake raisi akazadiwa unaibu waziri yeye na wenzake..siwataji so full kujikomba ndo serikali tulionayo hakuna weledi ukijikomba unapewa cheo
Kwa ufupi tu...samora macheli aliwahi kumuaga mkewe Graca macheli kuwa yeye [samora] anaweza poteza maisha hivyo akamwambia nikifa uende kwa mandela naamini mandela atakuwa raisi wa RSA...hivyo baada ya samora kutunguliwa graca alikuwa mjane na mandela akawa raisi hivyo unabii ukatimia...
katiba ya jmt haina wizara wala vipengele vyakd ila inamtaka raisi kuteua waziri mkuu na mawaziri na kuunda baraza .lakini katiba haijasema wizara ziweje ndio maana kila raisi anaunda wizara zake na kuzichanganya anavotaka. So cheo cha naibu waziri ama naibu waziri mkuu havipo kikatiba na ni...
Wale wataalaam wa IT kutoka Rwanda wana mfundishaa jamaa mambo ya rwanda si bure tu kuona tunafanana na Rwanda na mambo ya uendeshaji wa kibabe
Ipo siku tutajikuta ni Rwandan oriented kabisa yetu macho tu,
Duuh huenda wewe ulifurahi
Sana mwenzio kumiminiwa marisasi
Tatizo la watu wanaofaidika kwa sasa kwa dhuluma hizi tupatazo wananchi hawaoni mbele na kutuona tunao dai haki ni wasaliti
Siku Lissu anamiminiwa risasi mkuu wa nchi aliongea kuwa wasaliti hawezi kuwaacha wa ki survive
Nawe pia...
Mmhh huyu dereva huyu huyu natamani nishuke hata kwa kuruka, safar ya kuelekea dar-arusha anapitia Lindi mtwara Mozambique halafu nimsikilize Ali hali majua,route no dar to arusha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.