Search results

  1. sangas

    Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    0 !......makonda siyo mbunge mawaziri lazima wawe wabunge wa kuteuliwa na raisi au wakuchaguliwa mkuu
  2. sangas

    Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Katika football lolote linawezekana... Liverpoool kuna wakati alipigwa 3~0 first half lakini akawa bingwa wa uefa na ilikuwa liver mbovu sana maana ligi ya kwo walimaliza nafasi ya sita akiwa hana sifa ya kucheza uefa msimu unaofata.... Kuna waka barceleno walifungwa 5~0 na psg lakini walipindua...
  3. sangas

    Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    Alikuwa mbumge kupitia chadema ...baadae akaunga mkono jitihada za mwendazake raisi akazadiwa unaibu waziri yeye na wenzake..siwataji so full kujikomba ndo serikali tulionayo hakuna weledi ukijikomba unapewa cheo
  4. sangas

    Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Kwa ufupi tu...samora macheli aliwahi kumuaga mkewe Graca macheli kuwa yeye [samora] anaweza poteza maisha hivyo akamwambia nikifa uende kwa mandela naamini mandela atakuwa raisi wa RSA...hivyo baada ya samora kutunguliwa graca alikuwa mjane na mandela akawa raisi hivyo unabii ukatimia...
  5. sangas

    Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

    Huyu jamaa ana kaskendo ka kuiba mtihani kidato cha nne, ikamlazimu kurudia tena mwaka mmoja baadaye..... Sio msafi hata kidogo hafai kwa hilo tu
  6. sangas

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria...

    katiba ya jmt haina wizara wala vipengele vyakd ila inamtaka raisi kuteua waziri mkuu na mawaziri na kuunda baraza .lakini katiba haijasema wizara ziweje ndio maana kila raisi anaunda wizara zake na kuzichanganya anavotaka. So cheo cha naibu waziri ama naibu waziri mkuu havipo kikatiba na ni...
  7. sangas

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria...

    ukiona baba ako kaoa bi mdogo ujue bi mkubwa tayari ana kasoro ndo kutengwa huko.
  8. sangas

    Dodoma: Yaliyojiri kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Wale wataalaam wa IT kutoka Rwanda wana mfundishaa jamaa mambo ya rwanda si bure tu kuona tunafanana na Rwanda na mambo ya uendeshaji wa kibabe Ipo siku tutajikuta ni Rwandan oriented kabisa yetu macho tu,
  9. sangas

    Tundu Lissu: Spika asilete hoja kuwa sehemu aliyopelekwa ndio inakuwa kikwazo yeye kulipiwa gharama

    Duuh huenda wewe ulifurahi Sana mwenzio kumiminiwa marisasi Tatizo la watu wanaofaidika kwa sasa kwa dhuluma hizi tupatazo wananchi hawaoni mbele na kutuona tunao dai haki ni wasaliti Siku Lissu anamiminiwa risasi mkuu wa nchi aliongea kuwa wasaliti hawezi kuwaacha wa ki survive Nawe pia...
  10. sangas

    Tusimdhihaki dereva wetu

    Mmhh huyu dereva huyu huyu natamani nishuke hata kwa kuruka, safar ya kuelekea dar-arusha anapitia Lindi mtwara Mozambique halafu nimsikilize Ali hali majua,route no dar to arusha
  11. sangas

    Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    Yetu macho tutasikia mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sangas

    Wapo wapi hawa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    hakika kama wananchi hatuna pa kuanzia kujichomoa kwa hili la mkuu wa mkoa ,tutapiga sana kelele lakini mukulu ndio katoa msimamo wake kuwa HASIKILIZI MTU WALA HAKUNA WA KUMPANGIA hili linaleta chuki mbaya sana mbele ya jamii dhidi ya kiranja wa mkoa hili linaumiza sana hasa wale waliopata...
  13. sangas

    Kufuatia Mabadiliko CCM: Vyama Vya Upinzani bado vina Ubavu wa kuiondoa Madarakani?

    Your mad ma dear ,hivi huoni on twenty five years wapinzani wamefanya makubwa sana from ngaZi ya serikali mitaa ,udiwani ,ubunge had I idadi ya kura za uraisi ,opposition wamedevelop sana, wamekamata halmashauri za miji kadhaa nchini, Wacha kuona event ya ccm Leo km ni mwisho wa upinzani, JK...
  14. sangas

    Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    Politics is game, ukicheza vema you gain much Since mbowe kuwa chairman pale chadema amecheza sana game hizi anazijua,kuanzia akina prof .safari kuwangoa ,Cuf na lema, na msigwa kutoka TLP ,they now big in chadema ,tundu lisu alikuwa nccr now he is popular in chadema, leave lowasa ,sumaye...
  15. sangas

    DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma mbaroni wakidaiwa kupanga kuhujumu vikao vya CCM

    Tulisema ataanza na wapinzani,kuwaweka sero,kesi na majanga kibao kahamia media nazo kimya sasa,NGO nazo mfyato, wateule wake full sifa kwa mkuu na sasa karudi home,kwa wale alionao Kuna jambo kuu linakuja??????!
Back
Top Bottom