Ndio hivyo watu wanafikiria mini badala ya mikoa. Kimaendeleo ya makazi sio ajabu Tanga kuizidi Arusha.
Kama ulivyosema ukiacha Arusha na Arumeru kwingine hali sio kutokana na jamii za ufugaji.
Hakuna mnada uliowahi kutaka kununua korosho kwa tshs. 1,500. Bei oliwahi kufikiwa kwenye minada ni kuanzia tshs. 2,500 hadi 2,700.
Naona umeleta mjadala wa kitu ambacho hukielewi. Tshs. 1,500 ilikuwa bei elekezi na sio bei ya solo.
Hivyo kama siasa isingeingia wakulima wangeuza kuanzia...
Ukweli ni kuwa moja ya mambo yanayochoche uzalishaji wa korosho ni kqngomba. Kwa nini?
1. Wakulima wengi was korosho ni masikini kwani wanategemea zaidi zao moja au mawili au ya msimu.
2. Kwa kutegemea mazo ya msimu Mara nyingi kipindi cha kuhudumia korosho huwakuta hawana kitu na hivyo...
Lakini pia ukumbuke taasisi nyingi zinazotekeleza miradi ya Serikali hujiona sio jukumu lao kulipa Halmashauri ada na tozo mbalimbali kwa kisingizio kutekeleza miradi ya serikali.
Huku pia ni kuzihujumu Halmashauri kwani ni jukumu lao kukusanya mapato ili kujihudumia. Pia unakuta vifaa ambavyo...
Inasemekana pesa zilipotea kwenye idara yake sio kuwa ameiba. Naamini hahusiki ila kama ni kweli alijirusha amekosa moyo wa kuhimili mikiki ya misukosuko. Huku waliokwapua akiwaangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.