Recent content by SAKATABU

  1. S

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Naomba tuwasiliqne sir 0763583773 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Mkuu naomba unitumie namba yqko nataka nikuulize maswali mie niko Mwanza nataka utaratibu sir my number 0763583773 pastor Moses Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Wachina wa Meli ya 'Samaki wa Magufuli' kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao

    Acha zako, tuko vitani na mtu mzuri hapendwi na wengi. Na pia hakuna mtu aliye mkamilifu na jwa sababu hiyo mapungufu ya rais wetu tunayajua. Kwa nini watu hammtii moyo kwenye mazuri? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    Mleta mada nataka nikupongeze kwa kudhihirisha nia yako ya kuutukana ukristo. Maana hapo hata nia yako ni kuongelea Ukristo na wala siyo hao watu uliowataja kabisa. Ni misikiti mingapi ambayo haina hadhi ukilinganisha na waislamu wanaoswali humo? Unakuta ni matajiri kwelikweli lakini msikiti...
  5. S

    Napenda sana wake za watu, tatizo ni nini?

    UNA PEPO LA MAUTI. AMBALO SIKU MOJA LITAKUPELEKA WAKUCHARANGE MAPANGA. HUJASIKIAGA MSEMO WA MKE WA MTU NI SUMU? TUBU NA UMRUDIE MUNGU KWA TOBA YA UKWELI. MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
  6. S

    Nape atakuwa na ujasiri wa kupeleka Ripoti ya Makonda kwa Rais?

    ALISOMA . MAMBO YA KIOFISI UYAANGALIE MTANDAONI. NA UNAJUA WANDISHI NAO WANA VYAMANA MLE GO WA USHABIKI?
  7. S

    Nape Nnauye: An exemplary leader!

    KWA UPEO WAKO MDOGO WA MAMBO YA UONGOZI. ULISHAONA CHAMA AU TAASISI YOYOTE UONGOZI WAKE UNAPINGANA HADHARANI NA IKASIMAMA? KWANI HAMNA VIKAO VYA KUONGELEA HAYO.? NARUDIA KUSEMA NAPE NI JIPU LILILOIVA KABISA LIKO TAYARI KWA AJILI YA KUTUMBULIWA.
  8. S

    Lissu: Wanachama wamepitisha azimio la kumvua uanachama Mwakyembe, wanasubiri maamuzi ya viongozi

    HAPO NDO PATAMU NDO MCHEZO UNAANZA KUNOGA MAPEMA KABISA. TUNDU LISSU NI ANTI GORVERMENT NA SASA ANAANZA KUDHIHIRISHA MAPEMA KABISA. SASA KUANZIA HAPO ALIPO ATAONA MZIKI WAKE. UONGOZI WAKE UTAKUWA WA MIGOGORO SIKU ZOTE MPAKA ATAKAPOONDOKA MADARAKANI. YANGU MACHO
  9. S

    Nape Nnauye: An exemplary leader!

    MAMBO YA CHUMBANI MWANAUME ANAYATOA HADHARANI HIYO NI AKILI AU MATOPE? ALIPASWA AKAE CHINI KWANZA. KAMA NINGEKUWA MIMI WAKATI MWAJIRI WAKE NA BOSI WAKE JPM AMESEMA AACHWE MAKONDA APIGE KAZI ANGEPASWA NAPE KUACHANA NA SUALA HILO. HATA KAMA ALITAKA KUENDELEA NALO ANGELIPIGA CHINICHINI. UNAJUA KWA...
  10. S

    Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

    MAJIPU 10 YA MAGUFULI. YAENDE TU Hapo sawa ili wasaliti wa JPM wajidhihirishe halafu tuwatumbue kiukweli bila chenga. Maana mwanzo walikuwa wanafanya kisirisiri. Mfano Waziri Nape amekosa nidhamu ya maadili ya uongozi. Mkuu ameshatoa tamko kuwa mwacheni afanye kazi na wewe unaendelea na...
  11. S

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Cheti na madawa ya kulevya vinaingilianaje? Naona kama mnahamishia vita kwenye kitu kingine. Gwajima alitakiwa kujitetea juu ya kuhusika kwake na dawa za kulevya tu basi. Lakini kwa sasa anaendelea kumsema vibaya makonda na vyeti hiyo ni kutaka kuhamisha umakini wa kushughulikiwa kwake. mwacheni...
  12. S

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Sikatai mkuu jamaa anafaa but siyo kwenye utawala huu maana nchi hii kww sasa inahitaji mtu dikteta ili inyoke
  13. S

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Napenda na mie niseme kidogo, japo naweza kuonekana labda niko kinyume kidogo na mawazo ya wengi. Tundu Lissu ni mtu ambaye ana uwezo mkubwa kabisa wa kusimamia jambo. Tundu Lissu ni mwanasiasa na pia ni mwanaharakati ambaye yuko upande wa upinzani na mwanachama na mwanasheria mkuu wa chama cha...
  14. S

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Kwa maelezo ya Askofu Gwajima inaonyesha kuwa makonda alianza safari yake ya maisha kwa taabu sana. Kwanza nashukuru Askofu umefunua kitu ambacho kimenitia moyo sana kujua kuwa duniani haujashindwa mpaka utakapokuwa umekata tamaa. Kwa maelezo ya askofu naona makonda ni mtu wa kupongezwa na...
  15. S

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Ukweli ni kwamba Gwajima anaweza kuwa sawa kwenye vidato vya chini. Makonda amesoma vyuo vyote mpaka chuo kikuu kwani unaweza kusema makonda hana elimu? Hata kama cheti cha fomu four si chake but jamaa kajitahidi kuparangana. Hii inaonyesha kuwa jamaa alikuwa na maono na malengo na maisha yake...
Back
Top Bottom