Mkuu naomba unitumie namba yqko nataka nikuulize maswali mie niko Mwanza nataka utaratibu sir my number 0763583773 pastor Moses
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako, tuko vitani na mtu mzuri hapendwi na wengi. Na pia hakuna mtu aliye mkamilifu na jwa sababu hiyo mapungufu ya rais wetu tunayajua. Kwa nini watu hammtii moyo kwenye mazuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada nataka nikupongeze kwa kudhihirisha nia yako ya kuutukana ukristo. Maana hapo hata nia yako ni kuongelea Ukristo na wala siyo hao watu uliowataja kabisa. Ni misikiti mingapi ambayo haina hadhi ukilinganisha na waislamu wanaoswali humo? Unakuta ni matajiri kwelikweli lakini msikiti...
UNA PEPO LA MAUTI. AMBALO SIKU MOJA LITAKUPELEKA WAKUCHARANGE MAPANGA. HUJASIKIAGA MSEMO WA MKE WA MTU NI SUMU? TUBU NA UMRUDIE MUNGU KWA TOBA YA UKWELI. MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
KWA UPEO WAKO MDOGO WA MAMBO YA UONGOZI. ULISHAONA CHAMA AU TAASISI YOYOTE UONGOZI WAKE UNAPINGANA HADHARANI NA IKASIMAMA? KWANI HAMNA VIKAO VYA KUONGELEA HAYO.? NARUDIA KUSEMA NAPE NI JIPU LILILOIVA KABISA LIKO TAYARI KWA AJILI YA KUTUMBULIWA.
HAPO NDO PATAMU NDO MCHEZO UNAANZA KUNOGA MAPEMA KABISA. TUNDU LISSU NI ANTI GORVERMENT NA SASA ANAANZA KUDHIHIRISHA MAPEMA KABISA. SASA KUANZIA HAPO ALIPO ATAONA MZIKI WAKE. UONGOZI WAKE UTAKUWA WA MIGOGORO SIKU ZOTE MPAKA ATAKAPOONDOKA MADARAKANI. YANGU MACHO
MAMBO YA CHUMBANI MWANAUME ANAYATOA HADHARANI HIYO NI AKILI AU MATOPE? ALIPASWA AKAE CHINI KWANZA. KAMA NINGEKUWA MIMI WAKATI MWAJIRI WAKE NA BOSI WAKE JPM AMESEMA AACHWE MAKONDA APIGE KAZI ANGEPASWA NAPE KUACHANA NA SUALA HILO. HATA KAMA ALITAKA KUENDELEA NALO ANGELIPIGA CHINICHINI. UNAJUA KWA...
MAJIPU 10 YA MAGUFULI. YAENDE TU Hapo sawa ili wasaliti wa JPM wajidhihirishe halafu tuwatumbue kiukweli bila chenga. Maana mwanzo walikuwa wanafanya kisirisiri. Mfano Waziri Nape amekosa nidhamu ya maadili ya uongozi. Mkuu ameshatoa tamko kuwa mwacheni afanye kazi na wewe unaendelea na...
Cheti na madawa ya kulevya vinaingilianaje? Naona kama mnahamishia vita kwenye kitu kingine. Gwajima alitakiwa kujitetea juu ya kuhusika kwake na dawa za kulevya tu basi. Lakini kwa sasa anaendelea kumsema vibaya makonda na vyeti hiyo ni kutaka kuhamisha umakini wa kushughulikiwa kwake. mwacheni...
Napenda na mie niseme kidogo, japo naweza kuonekana labda niko kinyume kidogo na mawazo ya wengi.
Tundu Lissu ni mtu ambaye ana uwezo mkubwa kabisa wa kusimamia jambo. Tundu Lissu ni mwanasiasa na pia ni mwanaharakati ambaye yuko upande wa upinzani na mwanachama na mwanasheria mkuu wa chama cha...
Kwa maelezo ya Askofu Gwajima inaonyesha kuwa makonda alianza safari yake ya maisha kwa taabu sana. Kwanza nashukuru Askofu umefunua kitu ambacho kimenitia moyo sana kujua kuwa duniani haujashindwa mpaka utakapokuwa umekata tamaa.
Kwa maelezo ya askofu naona makonda ni mtu wa kupongezwa na...
Ukweli ni kwamba Gwajima anaweza kuwa sawa kwenye vidato vya chini. Makonda amesoma vyuo vyote mpaka chuo kikuu kwani unaweza kusema makonda hana elimu? Hata kama cheti cha fomu four si chake but jamaa kajitahidi kuparangana. Hii inaonyesha kuwa jamaa alikuwa na maono na malengo na maisha yake...
Ngoja na mie nijaribu kushauri. Kwanza ni Muhimu kujua kwa Mara ya kwanza kukutana nini kulichowasukuma muoane. Hii itasaidia kujua kama ktk hatua zenu mnatimiza malengo yenu. Kama drive yenu ilikuwa ni kupata company ya MTU mtakayetiana moyo kila Siku basis ndoa ya sina hii ni shida. Kama sex...
Dada alipaswa tu kuwa wazi. Hakuna ubaya wowote kuachana but mnaacganaje ndo cha msingi. Huyu kijana ashukuru Mungu ingekuja kumtokea akiwa kwenye ndoa. Akaanza kulea mtoto WA wengine
Acha uchochezi wa kikabila. unafaa kukamatwa uswekwe ndani. Suala la Manji na sisi wasukuma limeingilianaje? Nyie ndo mkiswekwa ndani unaanza kulialia wakati mengine unastshili. Huwezi andika mambo ya uchochezi WA migawanyiko ya kikabila tukakuacha tu, unapaswa kukamatwa, vyombo husika...
Mawazo yako mazuri sana bro na hao watu tunawahitaji, lakini ni mbaya sana na ni hatari kuwa na wasomi wasiokuwa na maadili. Maaadili yanaleta heshima kwa msomi na wala sio usomi wake. Msomi bila maadili ni disasta, wangekuwa wenye kutunza maadili wangelisaidia Taifa sana. Tunawakosa but no way
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.