Recent content by saed kubenea

  1. saed kubenea

    Deudatus Balile Ateuliwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation

    Kazi ipo yaani huyu jamaa karejeshwa yaani mafisadi kabla ya 2015 tutakuwa wametuonyesha mengi. Ngoja niandae makala rasmi kwa wiki ijayo!
  2. saed kubenea

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Hii makala safi sana ngoja nimuombe mwandishi tuichape
  3. saed kubenea

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    Hawa wana lengo la kumchafua Membe tu na watashindwa na nguvu zao za kifisadi. Nashukuru sana bwana Mwambene kwa taarifa hii ya haraka.
  4. saed kubenea

    Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

    Thats damn right, we went in different colleges!
  5. saed kubenea

    Beno Malisa, RZ1 waandaa kumpindua Shigella

    Naendelea! Taarifa nilizozipata punde baada ya thred hii kuwekwa jana ni kuwa Beno Malissa kamtafuta Katibu Martin Shigela na kuzungumzia jambo hili lakumpindua. Katika mazungumzo hayo ambayo Malisa alijitambulisha kuwa yuko mkoani Kilimanjaro yalifuatia na utulivu huku Shigella akijifanya kuwa...
  6. saed kubenea

    Beno Malisa, RZ1 waandaa kumpindua Shigella

    Haya wakubwa, nimekutana na kija wangu aliyekuwepo kwenye msafara wa UVCCM Afrika Kusini, taarifa yake ni kuwa mkakati huu unaendeshwa kwa ustadi mkubwa akihusika pia Katibu Makamba. Makamba amekubali kuingia katika kazi hii ili kutomuudhi mtoto wa mkubwa Ridhwan na hii inatokana na Januari...
  7. saed kubenea

    Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

    Hawa usalama watuambie isije kubakia majungu waliyompikia Hussein Bashe. Hili ni jambo sirizasi sana
  8. saed kubenea

    Beno Malisa, RZ1 waandaa kumpindua Shigella

    Wale vijana wanywa damu sasa wanajiandaa kumywa Martin Shigella kada yule aliyekuwa mkuu wa wilaya wilaya ya Mama Salma na akaletwa UVCCM kulinda maslahi ya kundi hilo. Hatua hii inakuja leo baada ya kummwaga Masauni wakisaidia na Bwana mkulu JK kwa kutumia taarifa feki kuwa alikuwa akisaliti...
  9. saed kubenea

    Mnyika kuwasilisha hoja binafsi bungeni

    Mnyika mbona umechelewa sana? Kwa taarifa yangu sahihi aliyewahi kuweka ombi la hoja binafsi ni Kafulila david na alianza wakati nyie mnazungumza tu yeye akawahi kuweka ombi lake. Kwa hiyo nadhani mtafute msaidiane kuboresha kwa kuwa hutakuwa na nafasi ya kupewa hoja wakati umechelewa...
  10. saed kubenea

    Tido Mhando atemwa TBC

    Ni wakati Chadema iwe na tv na redia kinyume na hivyo kupigana kushinda uchaguzi ujao itakuwa shida kwetu. Uamuzi huu unatakiwa kuchukuliwa sasa maana fedha ya ruzuku na inaweza kabisa kusaidia mtaji huu ama twaweza kuhamasisha wanachama na wapenzi wetu ambao kwa sasa wana imani na sisi na wako...
  11. saed kubenea

    Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

    Vijana wa chuo mna mambo sana. Nfanyia kazi hoja hii ya Zitto ya kuweka kumbukumbu kwa vijana wangu kisha nitarusha mkanda mzima hapa. Muda hautakuwa mrefu.
Back
Top Bottom