Recent content by robby one for really

  1. robby one for really

    Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

    Ndugu,unataka waendelee kuficha Ili watu waendelee kuteseka na KUPANDA kwa BIDHAA hiyo ama?
  2. robby one for really

    Rais Samia Mwanadiplomasia halisi

    MAMA SAMIA SULUHU HASSAN [emoji1241] RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWANA DIPLOMASIA HALISI [emoji1241] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine tunaweza kumuelezea kwa ubora wa mambo anayo yafanya kwa ajili ya Taifa letu tukufu la...
  3. robby one for really

    Bajeti ya Serikali 2021/2022: Naipongeza Serikali kwa kuitikia kilio hiki

    Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022. Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku. NINA MAMBO MAWILI MKUU 1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
  4. robby one for really

    Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Naishukuru sana serikali na Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano KWA kupitia TCRA Kwa kuliona Hili la Vifurushi na bei zake za hovyo ambazo zilikuwa zimeanza kutumika Kuanzia leo. Kwakweli tulikuwa tunaenda kukosesha watu ajira kwani kuna Vijana wengi wamejiajiri kupitia Soko la mawasiliano...
  5. robby one for really

    Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

    Hoja ya hovyo sana hii na nafikiria una-uwewe sana aisee wewe ndugu
  6. robby one for really

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Pamoja na majonzi na maumivu ya kuondokewa na Rais Dr. JPM lakini BADO ninalo tumaini kuwa ametuacha kwenye mikono salama isiyoteteleka. Naimani na Rais wetu Mama Samia Hassan Suluhu kwani kashapikwa na kapikika kisawasawa ndani ya miaka kadhaa aliyokuwa Makamo wa Rais Pamoja na nyadhifa...
  7. robby one for really

    Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

    Unataka afute hilo daraja kwakuwa hakuna pale waTanzania na wananchi wanaostahili kupata hilo daraja,acha roho mbaya na haitakusaidia
  8. robby one for really

    Mods naomba ban, tafadhali

    Mimi sio shabiki wa Timu Za mpira but Lazima yanga ashindwe Kwa mechi yao
  9. robby one for really

    Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

    Siku ambayo maskini wa nchi hii atakapochoka na upotoshaji wa viongozi wa ccm walai nchi hii wataiona chungu kwa namna yeyote ile kwani maumivu ya kunyonywa ni makali mno kuliko maumivu ya kidonda
  10. robby one for really

    Samuel Sitta anadhamira ya dhati na Tanzania

    Kwa mpaka hapo anafaa Sitta kuwa amili jeshi mkuu wa nchi yetu kwa kupitia mambo anayoyafanya kwa wakati huu?
  11. robby one for really

    Samuel Sitta anadhamira ya dhati na Tanzania

    Je kwa viongozi aina ya kina Sitta twaweza kuongoza nchi yetu kwa Amani pasipo kuwepo kwa vurugu kupitia kwa yale wayatendayo kwa jamii yetu? Kwanza kashindwa kuwasikiliza viongozi wa kidini toka madhebu yote kupitia tamko lao. Pili kashindwa kuzisikiliza sauti za wanyonge wanchi hii...
  12. robby one for really

    Samuel Sitta anadhamira ya dhati na Tanzania

    Kwa kuanza naomba kuwapa pole woote wenye majukumu ya hapa na pale na Mungu wetu si mchioyo wa fadhira anaendelea kutujaaria uzima na afya njema. Naomba kwa wajumbe wa Jamii forum kufahamu mawazo pamoja na fikra zao juu ya mwenendo wa swala la Rasimu ya Katiba ambayo inaendeleza kuchanwa chanwa...
  13. robby one for really

    Ikulu ya Tanzania

    Kwani ninyi hamuoni lowasa mpaka Leo anapatamani....... Hata macmm wote wanaendelea kupatamani mpaka wanafanya mauaji ya kikatili kisa hapo ikulu
  14. robby one for really

    Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

    Katika haya maisha kuna kila aina ya changamoto................ Kuna milima na mabonde pamoja na harakati za hapa na pale .....lakini MUNGU kwetu ndio kila kitu........... Nasikitika kwa watu wasioamini MUNGU katika ulimwengu na Tanzania ya sasa............. Kwa MOYO na FIKRA za UNYENYEKEVU...
Back
Top Bottom