Recent content by RIVI SHIRIMA

  1. R

    Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    fetheha km aliiba wali xaxa ataiba mpaka ukoko........je mbona hakusema alipewa athabu gani...na kawawa alipo pewa taariwa wakati walikuwa wote ali jiskiaje kijana wa enzi izo anaiba wali....
  2. R

    TBC rusheni Matangazo Live juu ya uokoaji unaoendelea kwenye Jengo lilliloanguka Dar!

    Naskitika sana televishe ya taifa kurusha picha za matangazo ya biashara,na miziki ambaya haina maadili wakati lao moja kuonesha habari mpya na matukio najinsi wa2 wanavyovutiwa na kuchukizwa kilchopo nawapa big up sana channel tenina redio one...
  3. R

    wali nazi

    jamani dar es salaaam ndo inasifika kuwa na mawali nazi wengi,hasa mitaa ya manyanya,msisiri,mwananyamal keko yote hii nayo km hamjaelewa wale man wanaosaidia kazi za night za wadada...utakutana nao kwenye vigoro almaarufu shughuli,moshi 2nasema discko vumbi
  4. R

    funzo

    kweli nchi ye2 imekuwa chaka la wa2 wasiokuwa na hekma na busara .eti gorofa lililopo posta la poromoka je alaumiwee mkandarasi au serikali yanye mamlaka ya kukagua maendeleo ya mkandarasi,hapo rupia ilipenyezwa,watoto we2 kufeli kwa kiwango kikubwa na wakaguzi wapo na hapo patakuwa pana nn au...
  5. R

    Kabila gani zuri jamani la kuoa?

    je fikra zako ndio zina kufanya uoe na wala sio pesa na kazi kua kifikra mkuu
  6. R

    Kabila gani zuri jamani la kuoa?

    huoi kabila bali una oa jinsia,na tabia hilo kabila la nn karne ya ngapi 2napanda basi la ukabila
  7. R

    Kumtoa Msigwa katika kamati ya Bunge, kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia?

    kuishi uk,sio kwamba amenda kuondoa ujinga bali kuongeza,ujinga ni kusema unachokijua ila hujui kina mwathirije mwenzako
  8. R

    MWANAFUNZI HAFAULU KWA MAANDAMANO, dawa ni kubadili mfumo wa elimu nchini sio kila jambo maandamano

    toka miaka ya tisini sijapta sikia matokeo ni mazuri ila yanaongezeka kwa ubovu "ukimwona mbua kakonda usmshangae mshangae anae mfuga"je serikali haikumbuki madai ya mgaya?je ni vizuri baba akigomana na mama watoto'waskie au baba unamkejeli mama.hebu tutizame kwa umakini hapa.1.walimu wanapewa...
  9. R

    Ephraim Kibonde asema kutotaja walioficha hela ni ujinga

    mjinga akielimishwa anabadili ila mpumba hata umtoboe ubongo hataelewa kibonde umewapa jina thuri sana hao ni WAPUMBAVU tena ukiwa waangali ni watu umri unasoma saa 12.30 baada ya kuwazika wao 2taiza mabilioni ye2 jamani hebu watajeni na picha zao zibandikwe km za move za kanumba
  10. R

    manufaa ya shirika la wanyamapori tanzania

    kweli tuna shirika la hifathi la wanyama pori linaitwaTANAPA kwani limetoke kufahamika na wanaozungukwa na hifathi 2 je kwa wanaoishi miko ya mbali wana nufaikaje na HILI SHIRIKA TANAPA
  11. R

    Nani mmiliki wa SOPHIA HOUSE?

    hizo zitakuwa zimejengwa awamu ya pili
  12. R

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    ntampa dk slaa kwani huyo zito amesha anza kutapata hana msimao hata kido huenda ana2mika na magamba
  13. R

    bodi ya elimu ya juu

    hongeri sana waziri wa elimu ya juu na watumishi wote wa bodi ya mikopo kwa kazi nzuri. Naskitika sanawa pale m2 anapo ji2ma mwingine ansinzia nakutegea Kabla ya bunge la 10 waziri husika alisema ataleta vigezo vya utoaji mikopa katiaka elimu ya juu, naskitika kwa kilichotokea...
  14. R

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    2nashuru kwa ilo kajiandee vyema
  15. R

    kiongozi ni nani?

    fikra ndio uongozi,kiongozi yapaswa aione kesho nakesho kutwa mpka mtondo go! Kiongozi man yake ni kuwafanya wa2 wakubali ambacho hawakitaki,na kuanza kuiona kesho yao japo hawaijui, Mashaka yananiji pale kiongozi anapo peleka taarifa za kazi kwa muke au mume na watoto hapo hakuna fikra bali...
Back
Top Bottom