Recent content by Rinsa

  1. R

    wanaume na tabia za ghadafi(rais wa Libya)

    wajaribu kujiwekea akiba bila waume kujua jaribu hata kujenga kibanda chako mwenyewe taratibu usikubali mume ajue kikishakamilika andika hata jina la mwanao na pangisha ili siku mambo yakienda kombo usihangaike kuteseka sana. Hapo kwenye red mhh:A S 13:
  2. R

    Celine Dion shows off her twin sons

    I like the lady,tangu nilivyokuwa primary school.
  3. R

    Mke anataka watoto zaidi

    Kama wana uwezo wa kuwalea vizuri kwa kuwapa upendo na mahitaji muhimu aongeze,lakini pia huyo baba nae awe ameridhia kutoka moyoni ili isiwe tuamekubali kumridhisha mke wake.
  4. R

    hatari ya kuibiwa kwa watoto

    Mungu asaidie wakutsne na wazazi/walezi wao soon
  5. R

    Never stop THINKING

    Ubarikiwe kwa post yako nzuri.Wengi tumepata mawazo mazuri kutokana na post zako.
  6. R

    Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. ===============
  7. R

    Hodi waungwana

    Nashukuru sana kwa kunikaribisha wandugu.Tupo pamoja
  8. R

    Hodi waungwana

    Naomba mnipokee mwanajamii mwenzenu.Nimekuwa nikiifuatilia hii forum tangu mwaka 2007 lakini sasa nimeamua kujiunga rasmi.Naomba mnipokee wandugu.
Back
Top Bottom