Recent content by renakamu

  1. R

    Second interview NSSF

    hii ni sbb ya serikali kutokuweka sera thabit juu ya ajira wamejenga vyuo lkn kuwekeza ili ajira zipatikane hakuna tunamkumbuka mwl nyerere mpaka kesho.
  2. R

    Kwanini kila kitu kizuri ni Rwanda tu?

    hapo ni uwajibikaji wa viongozi
  3. R

    PETER PINDA vs WILBROAD SLAA

    B: WILBROAD SLAA ana weledi mkubwa sana
  4. R

    Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

    yaani wizi wa pesa za umma unaniuma sana natamani kubadili urai
  5. R

    Kufuatia uhuni uliofanywa dhidi yake Monduli, CHADEMA yazuiwa kufanya mkutano Mto wa Mbu

    hivi ww laki si pesa zinakutosha kichwani kweli? hiyo ni haki ya kila chama kinachofanyika monduli ni rushwa tupu.
  6. R

    Tibaijuka: Kwakuwa rais ametengua Uteuzi wangu, sasa nipo jimboni natatua kero za Wananchi

    ni aibu yetu wanakagera ila pia tukubali hatu kiongozi wa nchi mwenye weledi mkubwa, hata washauri wa rais nina shaka nao.
  7. R

    Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    jamaa huyu huwa ni matatizo kabisa huwa sipotezi muda wangu kumsikiliza.
  8. R

    Jaji Warioba aunguruma Mwanza, ataka majibu ya hoja zake

    salome tambua kuwa warioba hazungumzii mawazo yake binafsi bali maoni yetu tuopanga mistari kuyatoa ili tupate katiba nzuri isiyojali na kusaidia mafisadi. Suala la mbunge kukaa jimboni kwake mie ni mmoja wa watoa oni hilo. Usipende kudhoofisha hoja za mzee.
  9. R

    Prof. Safari to head the CHADEMA delegation to the european parliament

    this is the best among the best Mungu awabariki
Back
Top Bottom