Recent content by remoteattacks

  1. R

    Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

    Nenda Marafiki.com - making friends has never been so easy... chat ili upate used kama wewe maana yule kaka wa kibongo unamwonea tu!
  2. R

    Elections 2010 Sitomtambua Kikwete kuwa ni rais wa nchi yangu

    Usitumie neno la Mungu kuhalalisha uovu! Mamlaka inayokubalika mbele za Mungu lazima iwe imepatikana kwa njia ya haki sio wizi! Usipokuwa makini utaanza kuruhusu kila uchafu kwa kigezo hichohicho, hata mtu akikupora mke na kummiliki utasema amepewa mamlaka na Mungu! Halafu unachanganya vitu...
  3. R

    Elections 2010 Hongera mh. Dk. Jakaya M. Kikwete

    Mwanamageuko kwani wewe ni ridhiwani au mtoto wa kambo wa kikwete, mbona unamwita kikwete baba?
  4. R

    Elections 2010 Unajua kwa nini kura nyingi zimedaiwa kuharibika?

    Mawakala wa chadema wanadai kwamba karibu kura zote zilizoharibika zilikuwa za Dr. Slaa! Wamedai kuwa ukimpigia Slaa kwa kuweka tick, wanaccm wanakoleza wino hiyo sehemu halafu wakati wa kuhesabu wanakuambia hii imeharibika maana haieleweki kama tiki au la (mfano Mvomero hiyo approach imetumika...
  5. R

    Elections 2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya

    Wewe unaongea utumbo! Nani kakuambia mkwere ana akili mpaka asiweze kufanya hivyo? Halafu ulivyo mpuuzi, Rostam ataingiaje na kutoka South Africa bila passport kuwa na mihuri ya kuonyesha kaingia na kutoka lini? Tatizo sio lako ni kwamba hujawahi kusafiri kwa ndege kwenda nje ya nchi na...
  6. R

    Elections 2010 Kumbe rostaz alikua afrika kusini, siku kura feki zinadaiwa kuingizwa toka huko?

    Hiyo mie mwenyewe niliipata nikiwa hapa South Africa kwa masikio yangu mwenyewe, akiongea bwana mmoja ambaye ni mwambata wa kijeshi katika ubalozi wa Tanzania huko Pretoria (Brigedia M****) kwamba "kura feki za Zanzibar zimetengenezwa mjini Sandton - uliopo jimbo la Gauteng na wanataka kura...
  7. R

    Elections 2010 Uthibitisho huu hapa!

    Convert hiyo doc to pdf halafu tuma tena.
  8. R

    Elections 2010 Safari ndefu ya ukombozi imeanza Chadema yagonga rasmi milango ya NEC

    Huyu mama ananiboa kwa uelewa wake mbovu, anapenda kupotosha mantiki za thread! Waambie kikwete na nec kwa nini wanatangaza matokeo ambayo siyo, ila sio Dr. aache kudai haki ya umma! Yaani wewe unaona kudhulumu haki za watu ni bora kuliko kudai! Pumbavu
  9. R

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Huo ni utapiamlo wa akili! Itv imetangaza amepinga matokeo sio kapinga ktk Itv!
  10. R

    Elections 2010 Sitayatambua matokeo ya urais - Dk. Slaa

    Nilitoa hii taarifa wengine walipuuza, wengine wakasema mie mzushi, ona sasa! Isome tena halafu sikiliza Dr. anasema nini? mhh hii ni balaa By pangamawe Poleni na harakati za kuikomboa nchi yetu! Leo napenda kuwajulisha mikakati michafu ya kupora na kuzuia maamuzi ya umma yanayofanywa na ccm...
  11. R

    Elections 2010 Sasa Najiunga Na Chama Cha Siasa Rasmi

    Nami pia! Nilidhani ktk maisha yangu sitakuwa mwanachama wa chama chochote, lakini natangaza rasmi kuwa sasa natafuta utaratibu wa kujiunga na CHADEMA!
  12. R

    Elections 2010 Kumbe saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina!!!!

    Hainiingii akilini! Ni kweli watanzania wanakubaliana na haya? 1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake 2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi 3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu...
  13. R

    Elections 2010 Kumbe saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina!!!!

    Kinachompa ushindi kikwete ni wizi wa kura kwa asilimia kubwa, halafu kiasi kingine anakipata kutoka kwa waswahili, mafisadi na wanajimu wenzake maana hao hawana uchungu na nchi, mfano soma hapa: http://xa.yimg.com/kq/groups/1803948/752231275/name/WARAKA
Back
Top Bottom