Adamu alikuwa na vyote alivyohitaji katika bustani la Edeni lakini bado Mungu alioona kuna jambo si zuri (upweke wa kutokuwa na mwenza) na hivyo kumpa Hawa.
Mkuu, sitaki kukukatisha tamaa lakini ukweli kwa nyumba unayotaka ili ifikie angalau hatua ya kukalika andaa si chini ya mil 150. Mil 85 haitoshi. Bei ya vifaa vya ujenzi viko juu sana
Tiba naona kama unauelewa mkubwa wa ujanja huu wanaofanya wachina kukwepa kodi ila nimeshangaa kuwa pamoja na uelewa huo haukuchukua hatua badala yake umekuja kulalamika hapa JF. Watanzania jamani tujitahidi kuchukua hatua kwa mambo kama haya yaliyo chini ya uwezo wetu. Binafsi nilimewahi...
Mji una nyumba yenye vyumba viwil vya kulala, moja kati ya hizo ni self contained (ina choo ndani)Ina sebule, dining room, jiko na public toilet iliyotenganishwa na bafu. Pia ina nyumba nyingine ya biashara yenye frame mbili za duka, chumba cha kulala, veranda kubwa mbele na choo cha nje. Mji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.