Recent content by RAK

  1. R

    Membe kuwania urais 2015...

    nahisi iko siku utatoka waraka viongozi wasiwe wageni rasmi labda wasiwasi huu hautakuwepo
  2. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Ni aibu hasa kwa wewe kuwa mtu wa majungu. Ukizingatia nilikuwa nakuheshimu despite I was senior to you Nyambala ( I dont need to reveal ubini wako hapa)
  3. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Thanks to all uzuri wake what ever is,said nasonga mbele wala sirudi nyuma. Kwa wale wanaoumia nawapa pole sana. kwa hiyo mtasemaaaa mtatukanaaa na hata mtagugumia sitetereki. Nawashukuru wale walionipa moyo . All the best
  4. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    As I have said earlier if you serious wants to help and give good advise identify yourself so,that I know naongea na nani as well as which gender or trans gender ili nisije nikakosea kuku address. Pia its about time now if you are man or woman enough tujuane basi. That will make a good sense...
  5. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Hivi jamani mnataka kila mtu afiche ubini wake kama tulivyo wengi humu. Ni jionyeshaje? @ makupa. I have been participating in this debates since I was in high school wengi wenu mkifyata mkia for those who knew me waulize uchaguzi wa ubunge kisarawe. Or kipindi cha mzee Ben who would dare to...
  6. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Nakubaliana na wewe katika hili lakini katika vita hii tusitenganishe kwa magnitude Rushwa ni Rushwa tu wote washughulikiwe ipasavyo tatizo liko pale pale nilisema asubuhi paka kengele na panya...
  7. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Kwanza kabisa mtoa hoja alikuwa tu na nia ya kunichafulia kama ilivyo kawaida yake. Pili sikusema hata kidogo nina falsafa za Mwalimu mie nimesema ni mfuasi wa falsafa za Mwalimu, kwa hiyo kuna utofauti mkubwa sana. Huwa sina account JF hii ni mara ya kwanza kufungua account kwani nimeona...
  8. R

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Jamani nimewasikia lakini namuachia Mungu. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Kwa wale wenye nia ya kunigombanisha na familia ya Mwandosya nao nawasamehe God knows. Nadhani kikubwa zaidi ni kuacha wivu na kujadili mambo ya mstakabali wa taifa letu. Heshima ya mtu hujengwa na analosema na...
Back
Top Bottom