Recent content by Rafiki Wakweli

  1. R

    Kambi hii ni halali kuwepo?

    Kuna kambi imewekwa na vijana wa CCM katika hotel inajulikana kama Rombo Plaza, inayomilikiwa na ndg Wiliam Kiwango, eneo la Shimbi katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Leo ni siku ya tatu vijana hao wakiwa wamepiga kambi hapo na huwa wanafundishwa mazoezi mbalimbali ikiwemo kipiga...
  2. R

    Nana Fisadi Kati Ya Hawa Mafahali Wawili?

    Naomba Wale Wanaojua Maana Halisi Ya Neno "fisadi"hasa Waalim Wa Dini Mwalimu Wangu Wa Dini Aliniambia Neno Fisadi Kiblia Lina Maana "mtu Aliyehujum Mke Wa Mtu"anayetembea Na Wake Za Watu(michepuko Na Mke Asiye Wakoy Kulingana Na Kukua Ku Lugha Neno Hili Lilinyumbuliwa Na Kupachkwa Wale...
  3. R

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Du! Ccm Imejaliwa Kututukana Baada Ya Mzee Mkapa Kutuita Malofa Na Mapumbavu Leo Mwenyekiti Wa Ccm Kata Ya Shimbi Kwandele Akiwa Anamnadi Mgombea Wa Ccm Inocenti Malamsha Alisema Vijana Wote Ambao Hawajaajiriwa Na Serikali Ya Ccm Na Majinga Na Maseseta Na Ccm Haipo Tayari Kuwaajiri Vijana...
  4. R

    Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    Mti Wenye Matunda Lazima Upigwe Mawe
  5. R

    Kwanini kila anachosema lowasa kinabidi kifafanuliwe

    Kasaliti Kanisa Kisa Rose Kamili Kamsaliti Rose Kisa Josephini Kasaliti Cdm Kisa--wanojua Wajaze Je Ukimpa Nchi?
  6. R

    Nipo Moshi kikazi, mbona utitiri wa shule kila kona ninayopita?

    Ina Majimbo 9 Majimbo Yaliyopo Uchagani Ni 6 Ccm2 Na Cdm 3 Tlp1 Upareni 3 Na Yote Na Ccm Majimbo Ya Uchagani Ni Rombo Cdm Vunjo Tlp Moshi Vijijin Ccm Moshi Mjin Cdm Hai Cdm Siha Ccm
  7. R

    Nipo Moshi kikazi, mbona utitiri wa shule kila kona ninayopita?

    Kata Niliyopa Ina Vijiji 4 Na Ina Shule Mnasoziita Za Kata Si Tunaziita Na Za Vijiji Zipo 3 Na Privet Ipo 1 Na Simejengwa Kwa Nguvu Ya Wanachi Ila Humwezi Kulinganisha Uchumi Wa Huku Na Sehem Nyingine Maana Huku Tunategemea Ndiz Na Kahawa Na Raia Wengi Wapo Mijin Na Wanawatumia Wazaz Wao...
  8. R

    Gari la Ole Sendeka lavunjwa vioo Kiteto, Polisi wafyatua risasi na mabomu

    Ilikozaliwa Cdm Ni Lazima Ccm Ipotee Kabisa Ndio Maeneo Mengine Yafuate
Back
Top Bottom