Recent content by Radick Gabrick

  1. R

    Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

    Wapi huko Uliko rafiki ang, Na unasemea kwenda kulima shambani hayo Mazao au kwenda kuya nunua kwa Wakulima shambani na kuuza.??
  2. R

    Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka

    Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi [emoji535] kupitia Semi [emoji597] Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na inakuwaje. Msaada Please
  3. R

    Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

    Samahani Rafiki, Naomba kuuliza jambo linalo nitatiza juu ya Biashara ya Nafaka ningependa kufahamu 1.Masoko, baadhi yanayo husika na ununuzi wa Nafaka yapatikanayo DAR. 2.Nauli ya Usafirishaji wa Nafaka kwa Mzingo mmoja Mfano, Kg100 kutoka Songea to Dar. 3.Ununuzi wa bidhaa unafanyikaje...
Back
Top Bottom