Rekebisha kichwa cha habari kwanza!Mwanakikjiji si mchambuzi wa kweli!Ni mtu wa kufikirika,hajiamini anatumia majina ya uongo.Hivyo hawezi kuwa mchambuzi!Mchambuzi ni mtu kama Kibanda na Marehehemu Chacha Wangwe,hawa wengine ni waCDM.R.I.P Wangwe.
Hivi wewe bado upo uraiani?Hujaungana na mkurugenzi wako?Vipi utashiriki au utakuwa unaulizia UPDATE nyuma ya key board wakati wananchi wasio na hatia wakiumia?Familia yako itashiriki?Mkiti nasikia ameenda DUBAI!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.