Search results

  1. P

    Mandela-Kifo cha furaha nyumbani siyo Ulaya

    Limekugusa mzee mzima!Come back home njoo utafute riziki nyumbani.Mzalendo halisi ni nyumbani sio ugenini.
  2. P

    Tafuta hiki kitabu usome

    Ok.abrakadabra en kelke fwaa
  3. P

    Ansbert Ngurumo: Kikwete anajua CCM bingwa wa udini?

    Udini aliuanzisha Edward L pale aliposaini memorundum of understanding baina ya makanisa na serikali.Huku akijua kuwa serikali haina dini
  4. P

    Hussein Bashe: Ninaamini Mitazamo na Fikra za Lowassa!

    A.K.A Kiru.............ndani ya C D M
  5. P

    Stop unscrupulous Foreign Aid to Tanzania campaign towards 2015

    Kwanini usirudi nyumbani kwanza ndo ulete haya mawazo ya uCDM?Ughaibuni kuna levyaaa eeeeeeeeeeh............au umeshachukua uraia wa nchi mbili.
  6. P

    Kanisa lamuandalia tuzo Lowassa

    Anaweza kutangazwa mwenye heri soon!
  7. P

    Wachambuzi kama Mwanakijiji Tusaidie Athari za Mikataba ya Wachina Afrika nk.

    Rekebisha kichwa cha habari kwanza!Mwanakikjiji si mchambuzi wa kweli!Ni mtu wa kufikirika,hajiamini anatumia majina ya uongo.Hivyo hawezi kuwa mchambuzi!Mchambuzi ni mtu kama Kibanda na Marehehemu Chacha Wangwe,hawa wengine ni waCDM.R.I.P Wangwe.
  8. P

    "TUKUMBUSHANE Wakubwa"

    Anatishia kujamba wakati anaharisha!
  9. P

    Absalom kibanda anavyoonekana kwa sasa

    Kibanda usirudi mpaka kesi ya Lwakatare iishe!R.I.P Chacha Wangwe
  10. P

    CHADEMA na Polisi wakubaliana kusitisha maandamano ya Machi 25

    Ben saa eight sema chochote!
  11. P

    Inanitatiza

    Kama ni mwana SIASA au kiongozi,Matatizo huyaita changamoto.lakini kama ni mtu wa kawaida tumia MATATIZO.
  12. P

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    Hivi wewe bado upo uraiani?Hujaungana na mkurugenzi wako?Vipi utashiriki au utakuwa unaulizia UPDATE nyuma ya key board wakati wananchi wasio na hatia wakiumia?Familia yako itashiriki?Mkiti nasikia ameenda DUBAI!
  13. P

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Haina haja ya kujiridhisha,JF inatosha kwani ile ya Ilunga nani alijiridhisha?
  14. P

    Kwa Rwakatare je hii ni halali?

    Ni haki kwa Lwakatare pekee?
  15. P

    Kwa Rwakatare je hii ni halali?

    Ndugu hili swali hata ipite miaka mia hawawezi kujibu,kwao wao haki ni yao tu!ya wengine sio haki.
  16. P

    Kwa Rwakatare je hii ni halali?

    Lwakatare ni gaidi period.
  17. P

    Kwa Rwakatare je hii ni halali?

    Masaa ishirini na nne kitu gani?Shk Ponda miezi mitano sasa yupo gerezani!Na ukiangalia uzito wa kosa la Lwakatare na la Ponda la Lwakatare ni kosa Kubwa mno.Kumuachia itahatarisha usalama wa wanahabari!
  18. P

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA ya March 16, 2013

    Utashiriki kwenye hayo maandamano au utaandamana nyuma ya key board na kuulizia update?Shiriki wewe na familia yako.Msitake kuwaangamiza watoto wa wenzenu nyinyi mnabaki kwenye jamii forums,au mtaandamana kwenye jf?
  19. P

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA ya March 16, 2013

    Hata kama maandamano hayo ni ya waislamu?Au ni ya CDM tu.
  20. P

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA ya March 16, 2013

    Yangekuwa maandamano ya Waislamu,mishipa ingewasimama lakini kwa kuwa maandamano ni ya CDM.............Nimesema hakuna maandao kesho wala 25 marchi 2013.
Back
Top Bottom