Recent content by puto

  1. P

    Ama kweli Pesa ni kilainishi

    Kapime na ukimwi kabisaaa
  2. P

    Mashimo ya choo yasiyo jaa (Biodigester)

    Hata mimi ninatumia huo mfumo na naelekea kumaliza mwaka toka nianze kutumia na kimsingi Hadi muda huu sijaona changamoto yoyote! Kuna kuwa na mashimo mawili ambapo shimo Moja ni kwaajili ya Maji taka Yale ya kuogea na yanayotoka jikoni ambayo yanakuwa na chemicals za Sabuni za kuogea na kuoshea...
  3. P

    Nauza shamba hekari mia moja(100)

    Inategemea na status ya Shamba kama lipo chini ya ardhi ya Kijiji au ni mali ya mtu binafsi!
  4. P

    Nauza shamba hekari mia moja(100)

    Weka mawasiliano yako
  5. P

    Computer4Sale Dell laptop inauzwa, HDD: 1TB & RAM 16GB

    PC Bado ipo chief? Naitaka tuwasiliane! Urgently
  6. P

    MREJESHO: Simuelewi mume wangu

    Atakuwa na ugonjwa huyo sehemu za siri siyo bure kwahyo hataki kukuambukiza
  7. P

    Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

    Huwa hawapendi kusema Kama Ni kiharaka - bagamoyo
  8. P

    Hili la mlinzi wa Rais kutembea mguu nje ikoje?

    Nadhani huyo ni mlinzi ambaye huwa anaingia nae Hadi ndani msikitini wakati wa swala
  9. P

    Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

    Na vipi kuhusu mafundi? Ni lazima watoke kwako au hata Hawa wakawaida wanaweza kutumia hiyo materials ?
  10. P

    Ushauri kwa klabu yangu ya Yanga

    Mzee upo sahihi Sana na ukizingatia Yanga wanaugonjwa wa kukataa Moto kwenye second half
  11. P

    Ushauri kwa klabu yangu ya Yanga

    Una point ya msingi lakini Nadhani Yanga Ana game mbili mkononi za ligi Kama sijakosea Ila sijui zitakuwa lini
  12. P

    Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    Huyo atakuwa babaake mlezi na siyo mzazi
  13. P

    Mdada kaniganda...

    Mwambie umeathirika
  14. P

    Kabla 'sijamjibu' David Mwakalebela (Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC) namwomba anijibu haya upesi

    Msiwe wepesi wa kusahau. Wakati SIMBA walipoilalamikia TP MAZEMBE kumtumia BOKUNGU na hatimaye TP MAZEMBE kupokwa ushindi je SIMBA walikuwa sehemu ya mkataba kati MAZEMBE na BOKUNGU?[emoji23]
  15. P

    Lisu piga spana hapo hapo hapo usiachie.

    Amwongeza kwa kupunguza income tax only
Back
Top Bottom