Recent content by pss

  1. P

    Natafuta mchumba mschana ili mungu akipenda aje kuwa mke wangu.

    Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama kuna mtu yuko tayari tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com) kwa mawasiliano zaidi.please this is...
  2. P

    Je,hii tunaenda wapi?

    Jamani watanzania tunaelekea wapi? Maana kuongopa kumezidi sana. si marafiki wala wachumba.hasa uongo wa kwenye simu,utakuta mtu anasema.niko nyumbani na kumbe yuko sehemu nyingine.hii inasaidia nini?.
  3. P

    Naomba kuuliza.

    Nini maana ya neno shalobalo?
  4. P

    Mchumba

    Basi naombeni msaada nimpate mchumba mwingine niachane na huyu wa kunipiga mizinga2.ila awe mschana mkristo mwenye kumjua mungu umri uwe miaka 20-25.tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com).
  5. P

    Mchumba

    Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:
Back
Top Bottom