Mchumba

pss

Member
Sep 13, 2010
5
0
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:
 
karibu jamvini utamaduni wetu ni kusalimie wakubwa na wadogo

Pili upo form ngapi vile hadi huu mchezo mchafu huujui? chapa lapa hapo umeshafanywa ATM zamani gani
 
Huyo mchunaji mm wa design hii nikisha mega naachana nae.
Nachapa mwendo
 
karibu jamvini utamaduni wetu ni kusalimie wakubwa na wadogo

Pili upo form ngapi vile hadi huu mchezo mchafu huujui? chapa lapa hapo umeshafanywa ATM zamani gani

Mpwa labda bado hajagundua kama anadanganyika:becky::glasses-nerdy:
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

Na wewe muombe vocha akikutumia na wewe mtumie message ya THANKS kwishnei
 
karibu jamvini utamaduni wetu ni kusalimie wakubwa na wadogo

Pili upo form ngapi vile hadi huu mchezo mchafu huujui? chapa lapa hapo umeshafanywa ATM zamani gani

Nawewe!!!akgh!!Hivi mchumba anabipu??au huyo ni mzizi mwenziyo!!Mchumba anapiga hatakama salio limeisha lakini anapiga mpaka litakapo ishia,
Mchumba aombi salio nikwamba wewe ukinunua unamnunulia na yeye!
Iweje mchumba akutumie sms ya asante wewe ujijue nafasi yako kwake haina maana kwani hataumpe 10000 hatakupigia atakuja kukupigia imebaki 300!!:mad2:
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

we dogo, huyo ni mchumba kweli au demu tu!unajua haya majina sometimes yanachanganya!kama ni mchumba basi hafai, lakini kama ni mlupo tu, changudoa, malaya sioni ambacho utakuwa unashangaa hapo!
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

Mimi namvumilia hadi nimchape, then simtumii tena hiyo credit, akitaka atambae zake....! Ndio atajua "cha bure sumu".
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

sio siri jamani mi issue ya kuombwa ombwa vocha inanikeraga sana, hata kama nilikuwa nafuatilia mlupo, naupiga chini!
 
asee! Utakuwa hupati kitu kwa mwendo huo siku hizi wamekuwa too commercialised, fuata ushauri wa Fidel80 hapo
 
mi ndio maana kiongozi hao wa kuomba vocha huwa siwataki,wa kwangu huwa ni wale wa kupeana bia 2,3 kisha mambo shwari......................!!!!!!!!!
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:
Kwa hisani ya watu wa marekani!
 
asee! Utakuwa hupati kitu kwa mwendo huo siku hizi wamekuwa too commercialised, fuata ushauri wa Fidel80 hapo

Ukipenda kupokea uwe tayari na kwenye kutoa au sio mpwa maana vocha ni hela basi awe anajua zinapatikana vipi ndio ajue kuomba na pia akiombwa awe tayari kutoa fasta bila kuuliza maswali
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateMon Sep 2010Posts1 Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

Udogoni kwako hukuwahi kuvua samaki nini alikuwa katika nchi ya jangwa hata bwawa halikuwepo.!?
vumilia pengine mbichi hizo zikiiva zinaweza kuwa maridhawa ila ujue hako katabia sio kwa mtu mwenye mapenzi ya dhati na wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom