Recent content by pri

  1. pri

    Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

    Mwandiko wa popoma kabadili sauti TU![emoji2][emoji2]
  2. pri

    Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

    Kwani huyo Eddo ni nani katika Dunia hii?anagawa hewa tunayovuta?aache ramli zilizomshinda kuipigia timu anayoipenda Arsenal kuwa watakuwa mabingwa wa kuongoza ligi....awaulize wenzake waliosema Simba underdog
  3. pri

    Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Bila kusahau JINA walilozaliwa nalo "Mbelemwikonyumamwiko daima"
  4. pri

    Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Sababu ambayo wengi hawajataja ni kuwa pale Utopoloni wenye mbongo ni wawili tu,wengine ziiiiiiiiiiiii!
  5. pri

    Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Ukiwasikia Sasa,eti imekamilika Kila idara!Jana Mzamiru mmoja kawaziba viungo wooote wa UTO,ni basi tu,Simba huingia huku imeidharau Yanga ndio maana Huwa wanapata matokeo
  6. pri

    Simba atafungwa na Yanga Jumapili

    Huwa nashangaa sana watu hasa wale mashabiki wa UTO kuropoka na kubwata kuwa Simba ni mbovu!hii si kweli, kwasababu ukiangalia kwa vigezo vyote mwishoni unaona Simba SC kwa Afrika Mashariki ndio timu Bora,lakini kwanini hujiweka kwenye maneno Simba ni mbovu,Moja ni kupata matokeo waliyokuwa...
  7. pri

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Huna hoja!
  8. pri

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Hicho ndio unachoweza kujibu!HAKUKUWA na uislamu kabla Mo kuwepo,kwasababu hamna ushahidi wowote kwenye Kolowani basi ukipenda Quran maana Mo aliwafunga akili kwenye uarabu, wala hata mkijibana kwenye kutumia vitabu vya Dini nyingine Hakuna.
  9. pri

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Aaaaah!kule umelala mbele baada ya kushindwa kujibu maswali, haya tumia hata Kuran ukishindwa tumia Kolowani ili ulete majibu
  10. pri

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Weka ushahidi wa andiko la kolowani!ACHA maneno yako yasiyo na ushahidi
  11. pri

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Aiseeeh!huko TEKU vipi?field yako ya ualimu mwaka 2 mmeshatoka ama unaandaa maandalio?
  12. pri

    DOKEZO Kuna kiongozi mmoja idara ya Elimu Sekondari halmashauri Masasi DC hana utu

    Vipi huko TEKU,Bado uko field na maandalio yako?,usisahau zana za kufundishia-mwalimu wa sayansi kimu
  13. pri

    Tanganyika stars baada ya kuchukua kombe la challenge

    Marehemu wakili kuwayawaya Steven-Shabiki wa Simba balaa
  14. pri

    Baadhi ya walimu kwenda na vishikwambi Baa

    Tatizo ni Moja TU!wamepewa walimu TU,basi kada nyingine ni nongwa,na hakika wangepewa watumishi wote wa serikali hakuna ambaye angekataa,na kuna majitu mengine yanaonesha dharau wakati ukweli wanatamani yangepata,alafu kuna kada wanajisifu kwamba mambo yao safi kama vile mishahara yao...
Back
Top Bottom