Recent content by pretty good

  1. pretty good

    Mwanaume anayehitaji mke asiye na kizazi

    Vigezo: Umri si chini ya 30 Mkristo Kwa alie serious PM me!
  2. pretty good

    Mwanaume asieweza kuzaa anahitajika

    Miaka yangu ni 26
  3. pretty good

    Mwanaume asieweza kuzaa anahitajika

    Sifa - Si zaidi ya miaka 40 - Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele - Awe na kipato halali, anajitegemea. - Elimu si chini ya form 4 Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri. Karibu tufarijiane! Kwa alieserious anifuate PM
  4. pretty good

    Am serching for a job in a school but not as a teacher

    Hello! I am a female postgraduate student and a freelancer interested in academics. I am in need of an administative job in private school.
  5. pretty good

    Ahsante mama nimekuelewa, samahani sana Irene wangu

    Hizi zama si za kumkataa mtu kwa sababu ya kabila... Inawezekana ndio kua ndugu zako hawawapendi wachagga lakini wewe si ndo utaishi nae? Ongea na familia wakuelewe and stand on your ground. Ukimwacha basi hukumpenda
  6. pretty good

    Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

    We ulitegemea nini? Kinachomtofautisha housegirl na mkeo ni hiyo kitu .... Sasa umeshawaweka level sawa, mpe haki yake
  7. pretty good

    Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

    Lol! Umeniacha hoi!!! Kwa matangazo hayo utawaachia sana wanawake nyumba. Ungekaa tu na mwenzio mvumiliane. Unadhani waliodumu kwenye ndoa zao hawana mikwaruzo?
  8. pretty good

    Rafiki yangu aliponiaibisha kwa kumtekenya dereva wa bodaboda!

    Sa kama anataka kuwatekenya si achukue namba zao akawatekenye vizuri? Si salama kumstua dereva... Atasababisha ajari!!! Huyo sio wa kupanda nae pikipiki moja tena...
  9. pretty good

    Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

    Eti! Wameachana Brad na Angelina Jolie sembuse wao!
  10. pretty good

    Wakati Watanzania wanalalamika maisha magumu, kuna jambo linanishangaza

    Sikupanga posti iwe kiroho mbaya! Nimesema mtu mfano... Laki nne ni mtaji mzuri tu kwa mtu mwenye shida ya ukweli
Back
Top Bottom