Recent content by Planett

  1. Planett

    Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

    wewe ni ombaomba acha hiyo tabia, zama za kuomba moto / chumvi zishapitwa na wakati dogo.
  2. Planett

    Best Song: Superstar - Jay Melody 🔥🔥🔥

    Ja melody hajawa hyped vya kutosha ila ni bonge la talent. Mond kama sio kuogopa kufunikwa angemsign Jay kuliko kale kajamaa alikokaokota sijui wapi huko.
  3. Planett

    DOKEZO Uongozi wa The Guardian haujatulipa mshahara miezi mitano lakini Raia Wa kigeni wanalipwa kama kawaida

    No offence ila nadhani inatakiwa uwe wa kitofauti sana KUSOMA/ KUNUNUA MAGAZETI siku hizi so possibly lazima biashara iyumbe tuu.
  4. Planett

    Yawezekana Miundombinu ya DSM ni Bora kuliko ya Nairobi Mafuriko yamedhihirisha hilo, tunaishukuru CCM na Rais Samia

    Mkuu miundombinu yetu ni bora kuliko ya Dubai na China usisahau hilo. CCM hoyee!
  5. Planett

    Mke anahitajika haraka

    sawa KUJANA kila la kheri
  6. Planett

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Hiyo hela imetumika kujenga hilo geti pamoja na airstrip hapo mbugani, KWA JINSI NILIVYOELEWA MIMI which is absolutely understandable
  7. Planett

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Hao watalii walikuja vacation au kuleta hisia zao? upumbavu sana afadhari walivotimyliwa
  8. Planett

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Sawa wameshambulia, mbona wamejifucha hawataki kuongea chochote? Wajitokese waseme chochote kama wao kweli vidume.
  9. Planett

    Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

    Jamaa hua anajiona Steven Seagal sana
  10. Planett

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Majungu, fitna na uchawi kwoye ni A+
  11. Planett

    Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Mkuu kwanini babaako hakupiga tuu nyeto akalala? Kua na mtoto kama wewe ni laana kwa kenya na dunia kwa ujumla.
Back
Top Bottom