Recent content by Pilitoni

  1. Pilitoni

    Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

    Hadi jtatu muwe na subira
  2. Pilitoni

    Natamani sana kumjua zaidi Siti Binti Saad

    Asili yake ni mnyamwezi wa Tabora
  3. Pilitoni

    Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Tofautisha kati ya NHIF ya JPM na ile ya JK na watangulizi wake, leo jitu linaongezewa kalaki tu linapiga kelele kama zuzu linasahau kila kitu. Wabongo ni bongolala kweli
  4. Pilitoni

    Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    2025 watamkumbuka zaidi
  5. Pilitoni

    Waziri wa sasa wa fedha wa Tanzania ana exposure gani kwenye uchumi?

    Kwa nchi zetu za kiafrika kusoma siyo kuelimika.Wanafanya ufisadi siyo darasa la saba ndio hawa hawa wanaojimwambafy ni maDr na maProf.Afrika,soma ule basi ndio maana wanapenda kweli kuanza na title Dr.....,Prof.......Kwa wenzetu ujinga huo haupo
  6. Pilitoni

    Dawa ni kuiondoa CCM Madarakani. Raia wana Maisha magumu kwa makusudi

    Upinzani hawajajipanga, wao ni wa ovyo kuliko hata hiyo CCM.Hawafai hata kidogo
  7. Pilitoni

    Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    wastage of time, kama tatizo lipo kwao wanawajibishwaje? Eti kinga kwa viongozi? nchi ya kiboya sana hii
  8. Pilitoni

    Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

    Acha wale maisha bhana, jipendekeze na wewe uambulie hata UDED.Hii nchi ukipata kacheo wewe kula maisha tu uzalendo baadaye
  9. Pilitoni

    Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

    Ni suala la muda tu hadi 2023 watumishi wa umma mtaanza kumwelewa mtoa mada, kuna hatari ya kurudi enzi za mzee ruksa kwa watumishi wa umma.Kama wewe ulikuwa mdogo kipindi hicho ndio utajifunza, kinachowapasa ni kutafuta vyanzo vingine vya mapato, ni hayo tu.
  10. Pilitoni

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Hadi Jumatano next week
  11. Pilitoni

    Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    Hizi sarakasi hazisaidii kilichopo hawa watu waanze kulipa kodi,mishahara yao pamoja na posho zao hazikatwi kodi kwa nini? Baada ya miaka 5 wanapewa pension ya wizi
  12. Pilitoni

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Hadi tarehe 50 na hakuna cha madaraja wala nini, muwe wapole
Back
Top Bottom